Frank "mwaminifu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Frank "mwaminifu"

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by BIN BOR, Feb 1, 2011.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.

  Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, “Mambo Frank!” “Poa”

  “Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu?” mke akauliza

  “Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time hapa” akajibu Frank

  Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager. Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza, “amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?”

  Wakati Frank anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba akawa amefika na kuuliza.

  “Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji nitawaletea huko huko”

  Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale. Wakati anapatana bei na dereva, Frank naye akaingia. Mama yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga kwikwi akamsikia dereve anasema.

  “Duh, eee bwana Frank huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!”

  mamaa akazimiaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Bora sisi Chapombe
   
 3. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Dah,kumbe simba mwenda pole ndiye mla nyama eh! Ingekuwa ni mm huo moto sijui angeuzima na nn!
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Eee bana eh...huyo Frank ni noma!
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  ungevimba lkn yangeisha c ndio hivyo ama?
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha.............kamatrue story...
   
 7. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  ndo hivyo,but cha moto angekiona wallah.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaah! Huko mbele ya safari sijui kesi iliishaje!
   
 9. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sio unasema tu kwa sababu ni vibweka vya JF, Kweli imekukuta live Tatiana utawasha moto kweli au na wewe zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 10. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Labda atamwacha mama dispensary anapata first aid kisha yeye atarudi club kusikilizia matokeo......
   
 11. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  umeona eh! Bora mara mia chapombe kuliko kito***
   
 12. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hahhaa hio kali...:laugh::laugh::twitch:
   
 13. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  huo mziki mbona ungekuwa hauchezeki!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaah!!
   
 15. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Duuu! Kaz ipo hapo chacha
   
 16. s

  shosti JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hahahahahahaha kama kawaida yako huwa hubahatishi si mchezo:laugh:
   
 17. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mihudumu mingine hata haijapitia shule sijui ikoje. Mi ndio maana nikitoka na jamaa akifika tu RG counter kabla hatujaletewa drinks utasikia wife huyu kila atakaefika anajiwahi mapemaaaaa
   
 18. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mwongo huyoooo!
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Anajihami mapema!!
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  teh teh triiiiii kwikwi... Duh amekomaaaaaa
   
Loading...