Yeah ni kweli,but kwa hili Yanga wamebugi sana ingawa kuna tetesi kwamba wamebadilishana wachezaji huku Yanga wakiongezewa na fedha.
Yes your alright mkuu,that's why nikasema ni tetesi.wamebadilishana wapi wakati dogo kamaliza mkataba wake tayari na yanga!! The next is mbuyu twite,stay turned!
Na kwa taarifa tuu meneja wa Azam Jemedali Said amepelekwa polisi.. na viongozi walioambatana na Taifa Starsbaada ya kuingia kwenye kambi ya Taifa Stars bila ruhusa.
Wakati akimsajil Frank Domayo..mikaba yote imechanwa na viongozi hao wa Taifa stars huki Tukuyu Mbeya
bado JONAS MKUDE...
meneja wao amesema wao kwasasa wanatafuta kipa mwenye uzoefu, ni nani Bongo?? acha movie iendelee