Francis Ciza (DJ Majizzo), ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za Dawa ya Kulevya

Sasa ni wazi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kaamua kupigana hivi vita kwa namna yoyote ile. Jana usiku Majizo ambaye ni mmiliki wa EFM radio na Tv alikamatwa na yuko cetral kwa sasa.

Hongera sana Makonda.... Mh. Rais tafadhali ikiwezekana mteuwe Makonda ubunge then umpe uwaziri wa mambo ya ndani. Anauthubutu, na anaweza..
Kwahiyo nchemba hawezi?
 
Habari zilizonifikia mida hii zinasema Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya EML Francis Anthony Ciza Majey (DJ Majizzo), na yeye yuko central. Katika yale majina 112 inasemakana jina la majizo liliongoza list, so wanaendelea kushuka chini tutegemee kuona wapendwa wetu wakiendelea kuchukuliwa mmojammoja.
View attachment 468430
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya EML na Radio E- FM Francis Anthony Ciza Majey (DJ Majizzo)
Duh
 
k
Sasa ni wazi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kaamua kupigana hivi vita kwa namna yoyote ile. Jana usiku Majizo ambaye ni mmiliki wa EFM radio na Tv alikamatwa na yuko cetral kwa sasa.

Hongera sana Makonda.... Mh. Rais tafadhali ikiwezekana mteuwe Makonda ubunge then umpe uwaziri wa mambo ya ndani. Anauthubutu, na anaweza..
wahyo na ww ushaprove kwamba majjizo anauza ngada?watanzania bana
 
Sasa ni wazi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kaamua kupigana hivi vita kwa namna yoyote ile. Jana usiku Majizo ambaye ni mmiliki wa EFM radio na Tv alikamatwa na yuko cetral kwa sasa.

Hongera sana Makonda.... Mh. Rais tafadhali ikiwezekana mteuwe Makonda ubunge then umpe uwaziri wa mambo ya ndani. Anauthubutu, na anaweza..
hata u PM...............
 
Inawezekana kunakuwa na makosa ya kiufundi katika kutekeleza lakini marekebesho yafanywe ili kutorudia makosa bila kusimamisha zoezi kwahiyo hata wale wenye mzigo wahangaike namna ya kuuhifadhi ili wakamatwe vizuri hakuna kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom