La Cosa Mia
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 271
- 127
Acha ubwege na jealous wewe, bondia hachagui anachaguliwa na promoters. Wewe andaa pambano uone kama hupigwi wewe na huyo bondia wako. Hawa wachonga mdomo wenyewe wametaka kupigwa. Na kama mabondia wa nje angalia vizuri hiyo list yako, labda tu kwa kuwa ukoo wa Matumla ulipigwapigwa na huyu jamaa ndio inakuuma
Ubwege unao wewe na aliyekuzaa.....acha matusi mkubwa...tutakesha hapa tunatukanana......***** zako!!!!
Haya turudi kwenye hoja.....kama bondia hachagui mpinzani niambie ilikuwaje akakimbia kupigana na rasta kaseba pale uwanjani tena siku ya pambano lililokwisha andaliwa na mapromota???? jibu hilo kwanza......leta tena matusi ndio unijue....