Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,994
Huyu jamaa alikuwa Rais wa Equatorial Guinea toka waka 1968 hadi 1979 alipopinduliwa na Mpwa wake Teodoro Nguema ambaye ndiyo Rais wa sasa. Vituko vyake.
1.Jamaa alikuwa mtumiaji mkubwa wa bangi na mmea uitwao iboga ambao nao ni kama bangi.
2. Alipochukua urais alichukua madaraka yote ya Bunge na Mahakama na kujimilikisha.
3.Kumsema vibaya Rais au baraza lake lilikuwa ni kosa la kufungwa mika 30 jela.
4. Ali piga marufuku vyama vyote isipokuwa chake ambacho yeye ndiye alikuwa rais wa maisha.
5. Alitoa amri ya kuua wote wanaovaa miwani.
6.Alikataza matumizi ya dawa za kizungu akisema siyo utamaduni wa muafrika.
7.Ili kuzuia watu wasikimbie nchi aliharibu boti zote na kupiga marufuku uvuvi. pia aliharibu barabara zinazotoka nje ya nchi.
8.Alibadilisha Motto wa nchi kuwa "hakuna Mungu mwingine bali Marcias Nguema"
9. Jamaa alimuua gavana wa benki kuu na akawa anatembea na mabriefcase ya pesa.
10. Alikuwa anaua wasomi, pia aliua theluthi mbili ya wabunge na mawaziri wake 10.
11. Kwenye utawala wake karibu nusu ya raia walikimbia nchi. Inasemekana kwenye utawala wake watu 50,000 hadi 80, 000 waliuwawa.
Mwaka 1979 alipinduliwa na mpwa wake ambaye ndiye rais wasasa wa Nchi hiyo. Alipinduliwa baada ya kuanza kuua hadi ndugu zake, wakakaa chini wakaona wamuondoe. Aliuliwa kwa kupigwa risasi.
Wikipedia.
Nashauri mtu kabla ya kugombea urais atuonyeshe cheti cha daktari wa magonjwa ya akili kwamba hana tatizo lolote la akili🙂.
Palantir Malcom Lumumba mmemuona Nguema mkubwa!!??, Palpatine akasome!!.