Frame Ya kupanga Arusha

Frame Ya kupanga Arusha

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
habari ndugu zangu wa jf, naomba kujua kama kuna mtu yeyote ambaye anaframe anakodisha kwa ajili ya biashara mjini Arusha,kwanzia maeneo ya mjini kati mpaka maeneo ya kaloleni,soweto au makao mapya. Au kama unamjua mtu anaframe ziko/iko wazi nitashkuru sana akinifahamisha!namba zangu ni +255714478797
asanteni
 
Zipo ila andaa laki 5 ya dalali, huna pita hivi
 
pukudu its ok wapi naweza pata?au km una namba ya huyo dalali nipatie plz
 
huwezi kukosa frem, ngoja nikitulia ntakupm namba za madalali ucheck nao
 
Back
Top Bottom