Frame ya biashara inahitajika; Arusha

Frame ya biashara inahitajika; Arusha

Jitu la-Mtumba

Senior Member
Joined
Mar 20, 2025
Posts
151
Reaction score
349
Habarini za wakati huu ndugu,jamaa na marafiki[ japo sina rafiki humu ndani,kama upo Mbeya unaweza nicheki tuka bang].

Moja kwa moja kama maada inavyosoma hapo juu,kuna pacha yangu ambaye hayupo humu ameamua kuanzisha biashara ambayo anaona yeye itamfaa pande za kaskazini Arusha. Sisi nyumbani ni Arusha japo mambo ya majukumu yalitutenganisha mimi nikawa huku kusini kwa wadada wenye ma shape yao au sjui ndiyo maana kufanikiwa kunasua sua.

Location kapendelea Njiro,Town kati,Moshono,Mbauda,Sakina +Ngaramtoni road.
First priority Njiro,
Second Moshono,
Third Sakina road,nakadhalika,nakadhalika

Ganji lako la mwezi anatoa
Bei isiyozidi 400k.
 
Depal anaweza kukupa namba ya madalali wa hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom