Twande
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 543
- 174
Kichwa cha habari kinajieleza,frame si kubwa sana ila ipo pazuri sana inatazamana na gate la shoppers plaza Mikocheni, kwa stationary mambo ya mpesa max malipo nk inafaa sana, pia hata activity nyingine yoyote utayotaka kufanya panafaa. . twende pm if you are interested. .