Frame Arusha mjini inaitajika

Frame Arusha mjini inaitajika

Ghost

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2010
Posts
428
Reaction score
53
Wakuu, naitaji frame Arusha mjini, ila kodo isizidi 200,000.
 
Chini ya 500K pm hupati fremu mjini!
Hiyo uliyosema ni ya Kwa Moromboo!
 
Wakuu, naitaji frame Arusha mjini, ila kodo isizidi 200,000.

Chini ya 500K pm hupati fremu mjini!
Hiyo uliyosema ni ya Kwa Moromboo!

Aacha hizo kaka....sio lazima city centre

Hela uliyonayo huwezi pata frame town... hata maeneo ya nje kidogo ya mji..maeneo kama Sanawari....Philips..Sakina....Njiro....Kijenge...Mianzini..Esso..Kimandolu....Sahau kupata frem kwa pesa hiyo....we nenda tu Ngaramtoni!!
 
zipo mkuu,wanakukatisha tamaa nenda hapo florida,kwenye jengo jipya la NHC,maarufu kama modern driving,bei za frame hapo ni nafuu.muulize m2 yeyote mwenye duka hapo atakuelekeza mpango mzima.
 
Back
Top Bottom