FP..............

FP..............

TANMO upo? fuata taratibu, kipindi ile ulichemka! hizi short cut zitakukosesha dadetu! mjomba TUPA TUPA anajua?

Kimsingi nilikuwa naye ila tangu tuagane Juzi simpati hewani..
Halafu Mjomba Tupa yupo, nilikuwa naye siku chache zilizopita. analalamika mmemtupa sana.
Hivi umenionea FP popote Shem?
 
dada yupo kwenye Unyago na akitoka ataenda kuendelea na Mangau kau kwa wk kama tatu hivi, utamwona baada ya mwezi 1
 
mnaongea nini nyie.......? stuka TANMO....kikulacho ki nguoni mwako.......
 
Last edited by a moderator:
wee weee....ishia hapo hapo........

Hahahahahahaa! Umenikumbusha mbali sana! Siku ile tulipokutana kwenye kona ya chachi, ulikuja kwa mkwara, lakini shortly mambo yakawa safi! Karibu dia!
 
@fp, kwa upendo mkuu, yaani huyu TANMO anavuta mibhange. Naomba uwe muangalifu. Nasikitika mie natumia medicinal marijuana na ni halali huku kwetu. Aliona akaniibia enzi hizo anasoma anakaa kwangu. He is an addict. Staki kesi na huyu mdogo wangu, nimekustua tu
 
Last edited by a moderator:
kumbe na wewe umelijua hilo? lol!
tuko wangapi?

Waaaoh, Umerudi? :target:
Kwani umesahau Dia kuwa tuko wawili tu? Pamoja na My Pacha sweetlady tutakuwa watatu.
Huyu naye tangu upotee basi na yeye kapotea, mlikuwa pamoja huko mlipoenda kujificha?
 
@fp, kwa upendo mkuu, yaani huyu TANMO anavuta mibhange. Naomba uwe muangalifu. Nasikitika mie natumia medicinal marijuana na ni halali huku kwetu. Aliona akaniibia enzi hizo anasoma anakaa kwangu. He is an addict. Staki kesi na huyu mdogo wangu, nimekustua tu

Ila Mibanghe si nishaachaga? Umekuja kuniharibia Makusudi kwa Barafu ya Moyo wangu siyo eeh?
Haya Bana, Ngoja na mimi niandae waraka wangu kwa PAW kuhusu zile kashfa zako za Kuwafundisha Wasanii wetu Kubwia Unga na mengine yote yanayokuhusu...... CC: Vinyumba ndogo vyako vyote,,,,, BCC: wale wote waliowahi/wanao kutokea.

Otherwise nakupa siku Tatu Uniombe msamaha kwa kunichafua na unilipe Tsh 1000000000000000000,,,, ukishindwa kutimiza hayo masharti ujiandae kuchafuka.
 
@fp, kwa upendo mkuu, yaani huyu TANMO anavuta mibhange. Naomba uwe muangalifu. Nasikitika mie natumia medicinal marijuana na ni halali huku kwetu. Aliona akaniibia enzi hizo anasoma anakaa kwangu. He is an addict. Staki kesi na huyu mdogo wangu, nimekustua tu
Asante sana King'asti kwa hii taarifa, ila usijali mpenzi nimeshadondokea kwingine......mupenzi wa moyo wangu, lol!
 
Last edited by a moderator:
Waaaoh, Umerudi? :target:
Kwani umesahau Dia kuwa tuko wawili tu? Pamoja na My Pacha sweetlady tutakuwa watatu.
Huyu naye tangu upotee basi na yeye kapotea, mlikuwa pamoja huko mlipoenda kujificha?
hatukuwa pamoja na wifi yangu wa ukweli sweetlady, mimi nilikuwa na mupenzi wa moyo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom