Apo umepata mkuuu we ingia cas/TCU .home kuna sehem kwa chini wameandika provisionally selection we ingia apo uingize taarifa yyte ambayo ni index ya 4 or 6 utaambiwa kozi hadi chuo ulicho pata asante!!!
Hapo bado hujapata but umepew fursa ya kubadilisha program na kuweka ambazo una sifa ya kuzisoma......either ulizoziweka hukua na sifa ya kuzisoma.. .ingia in ur profile ubadili selection