Four Years Later: Unbowed, Untamed and Unapologetic!

Wewe ni moja ya mabadiliko chanya katika media nyingi sana za habari Tanzania, wewe umeandika mengi sana katika uandishi wa habari Tanzania, Wewe umetoa ushauri wa bure kwa viongzi wengi sana Tanzania, Wewe umejaribu kuelekeza hata vyama vya siasa tanzania, Wewe umejaribu kuleta changamoto kubwa na midahalo mikubwa sana Tanzania, Nakuheshimu sana babu yangu na pia asante sana kwa ajili ya hilo
 
Asante mkuu kwa maneno ya hekima, vipi na kile kijarida zetu tukufu cha CHECHE kiliishia wapi?? correct me if I'm wrong maana sikuwahi kupata taarifa zake kwa muda sasa. Pengine ulishatoa elekezo ila sikuliona(kuhusu kutochapishwa tena).
 
Mzee MwanakijijiNakupongeza sana kwa kuirejea historia ya JF kwa maneno mafupi yanayogusaMwenyezi Mungu Akubariki sana.-Tangu sasa, adui yako ni adui wa Tanzania-Adui wa Watanzania, ni adui wa Mungu-Kwa hiyo, adui yako ni adui wa Mungu./Baija Bolobi
 
Mwanakijiji na waanzilishi wote wa JF mwangwi wa yanayotokea hapa ulinivuta kurudi tena kwenye majukwaa kama haya kushirikiana na Watanzania wenzangu!na JF ukawa ni uchaguzi wangu! Juhudi mlizozifanya ni kubwa mno na Mungu peke yake ndio atukayeweza kuwalipeni! Nawaombeni msife moyo kwani kazi ndio kwanza inaanza na tuendako bado ni mbali ila kwa mapenzi ya Mungu hatukati tamaa utafika.

Kitu kimoja najivunia na ningependa kuwashirikisha ni kwamba JF is Jukwaa lenye nguvu kuliko wengi tunavyofikiria!

Mungu awabariki wana Jamii Forum!
 
Babu yangu Mwanakijiji kwa kuwa wewe Mungu amekuwezesha kujua mengi hata hekima ya kutafuta basi tunashurukuru sana kwa michango yako yote ya kutufungua macho Watanzania
 
Congratulations Mzee Mwanakijiji. You deserve to be the next President of the United Republic of Tanzania. You have all that it takes.
 
Congratulations Mzee Mwanakijiji. You deserve to be the next President of the United Republic of Tanzania. You have all that it takes.


duh.. ningekuwa mwanasiasa ndugu yangu ningetamani hilo lakini naweza kugeuka kuwa dikteta mkarimu!
 
Hongera sana Mwanakijiji.

Kuna mengi sana uliyotoa ila binafsi sintasahau makali ya "Kasungura," "Ndege ya Uchumi", na "Save Amina"

Laiti watanzania wote tungekuwa na ujasiri wa aina yako, tungeondoa hii mediocrity inayotutesa miongoni mwetu ghafla bin vuu sekunde moja tu.

Matokeo yake yanajulikana

Ubarikiwe sana Mzee Mwanakijiji, Kwa Makala zake wengine tukajipatia majina JF!
 
Yes indeed. A lot has happened in the past four years. Yes, the forum taught a lot via collogues with different intellects as well as vision for the mother land. Some knew so much but they found neither courage nor a forum to speak. But yes, this made it. Now we know "How the Dog was domesticated" and we also know "How the Leopard Got His Claws". Thank you all.
 
Back
Top Bottom