Forum maalum kwa wakongwe wa JF

Forum maalum kwa wakongwe wa JF

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Wana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze

Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe kule juu bolded
 
Mkuu heshima mbele, umekuwa too general to digest kwenye hoja yako, vipi vigezo vya kuwa mkongwe wa jf?
 
Aiseee kuna hiyo siku nilichimba mada mbali mbali za kipindi hiko aiseee.

Jf zamani ilikua na mashangazi that is real an unakuta comment inaandikwa kishangazi shangazi kabisa ad mate yanakutoka..

Ila sasa hvi ni laana tupu aisee ukikutana na comment ya bichwa ni matatzo...

Kuna wengine ni wakongwe humu na unaweza jua ni mshangazi kumbe ni faza..
Hii ilinitokea aiseee yule jamaa alinitukana sana ila yote heri...
 
Wajomba wenye mashangazi yao wataku-phira kijana, jihadhari
 
Mkuu heshima mbele, umekuwa too general to digest kwenye hoja yako, vipi vigezo vya kuwa mkongwe wa jf?
Kama wewe miaka zaidi 10 asee,,, hata tukisema kuanzia mitano tuu ni ukongwe huo.
 
Back
Top Bottom