Forodhani Secondary School - Naomba kujua!!!

Forodhani Secondary School - Naomba kujua!!!

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
416
Wandugu wa JF, leo nilikuwa napita maeneo ilipokuwa shule maarufu ya sekondari Forodhani to my surprise nikakuta kuna ujenzi wa nguvu unaendelea lakini hakuna dalili ya kuwepo wanafunzi wa sekondari. Badala yake kulikuwa na watoto kama wa chekechea wengi tu na mabadiliko mengi. Sijui kwa kuwa sikuwepo humu jijini kwa muda mrefu au vipi...Hebu nihabarisheni wenzangua shule ya sekondari imerudishwa kwa utawala wa kanisa nini??
 
Hebu nihabarisheni wenzangua shule ya sekondari imerudishwa kwa utawala wa kanisa nini??

Mbona long time sana kwani ulikuwa wapi wewe? Kitambo sana hata tumekwishasahau ni lini!
 
wengine huwa tunaingia machimbo ambayo hata ukirudi huku mjini kila kitu kipya!!! Sasa hiyo shule ya sekondari imehamishiwa wapi??
 
Back
Top Bottom