Nyerere ndio mjanja so far...wengine waendelee kujikomba kwa wathungu
I agree with you 100 percent. This reminds me of George Liundi who was the first Registrar of Political parties. Do you know what he did after retirement? He went and contest for ubunge in CCM.
Mbona Hampigi kelele Dowans c ndo Symbion baada ya Ubatizo!
Sisi wenyewe watanzania/raia ndo tunachochea hizi tabia za watu kuwa wezi, mana tunawasifia na kuwabeza waadilifu.Mzee Mangula kastaafu u-katibu mkuu kaenda kijinywea ulanzi mnamcheka, unadhani walioko kwa power wakiona hivyo watafanyaje?
Kuna wakati, spika wa bunge aliwahi kuwa board chairman wa kampuni fulani..!
Tanzania kila kitu kinawezakana. Kuna wakati, spika wa bunge aliwahi kuwa board chairman wa kampuni fulani...itakuwa huyo mstaafu? Watu walivyojaribu kuuliza kulikoni wakaambiwa ati wana "wivu wa kike"!
Una kumbukumbu wewe, acha tu!Serious?
Captain22 kila kampuni zina mikakati yake hivyo hutafuta watu maarufu kwa ajili ya "Lobbying" ili maamuzi mengi ya serikali yawe na matokeo chanya kazi biashara zao; si hapa Tanzania hata nchi zilizoendelea ndio maana huwa zinachangatia kampeni za uchaguzi kuhakikisha nchi inaongozwa na Raisi anatoka katika mtandao wao. "Lobbying" si rushwa ni mkakati tuuWakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
Nadhani asie na macho haambiwa Tazama, huyu huyu Jamaa ndio aliowaleta hawa wawekezaji, ndio aliefanikisha kupata vibali vyote vya uchimbaji na kusign mikataba yote,
Leo hii wamemwajiri na kumpa cheo ambacho nadhani hata hakikuwepo!
Ukweli ndio maana mikataba isiyo na tija na ambayo haina manufaaa kwa Watz kwamwe kwa stye hii haitaisha hapa Tz
Tafakari, chukua hatua!
Hapa ndipo tunapokosea kama taifa!
na amechaguliwa na wezi,ameenda Oman kuwakilisha wezi,,,,hahahahaaa,,,like a father like a sonTumeshasema hapa kuwa Symbion na Dowans ni mali za Kikwete. Unataka tupige kelele mara ngapi tukiwa na rais mwizi?