Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
Unashangaa 'upara' kwenye makalio ya nyani!!! Its a reflaction of how our govt leaders who we intrust with our minds and souls ends up working against us and instead serving his personal and other interests..
 
Mimi sioni ubaya wowote katika hili. Haya mambo ni heri tukayaona kwa mapana na marefu yake. Kuna uhusiano mkubwa kabisa kati ya biashara (hasa ya kibepari) na siasa. Wawekezaji wanapenda sana kuwa karibu na wanasiasa ili sera na malengo yao yasipunguze faida wanayoipata. Inawezekana ikawa ni vibaya au inaumiza wananchi wa kawaida lakini huo ndio ukweli.

Zamani walikuwa wanamteua mtu ambaye ni well connected na wanasiasa na kumlipa mshahara ili pale wanapohitaji jambo kutoka serikalini au kubadilisha jambo basi inakuwa rahisi. Kwa kuwa sasa ni biashara huria na mtu yeyote anaweza kuteuliwa kuwa kiongozi ndani ya kampuni hiyo basi wanafanya hivyo. (Kumbuka Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Breweries ni Cleopa Msuya. Hayo hayo).

Lakini ukweli unabaki kuwa hao wanaoteuliwa kuwa wenyevyiti hawana mamlaka yoyoye ya maana zaidi ya kusikiliza na kutekeleza maagizo kutoka kampuni mama za hao makampuni tanzu waliyo wenyeviti.
 
Mimi sioni ubaya wowote katika hili. Haya mambo ni heri tukayaona kwa mapana na marefu yake. Kuna uhusiano mkubwa kabisa kati ya biashara (hasa ya kibepari) na siasa. Wawekezaji wanapenda sana kuwa karibu na wanasiasa ili sera na malengo yao yasipunguze faida wanayoipata. Inawezekana ikawa ni vibaya au inaumiza wananchi wa kawaida lakini huo ndio ukweli. Zamani walikuwa wanamteua mtu ambaye ni well connected na wanasiasa na kumlipa mshahara ili pale wanapohitaji jambo kutoka serikalini au kubadilisha jambo basi inakuwa rahisi. Kwa kuwa sasa ni biashara huria na mtu yeyote anaweza kuteuliwa kuwa kiongozi ndani ya kampuni hiyo basi wanafanya hivyo. (Kumbuka Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Breweries ni Cleopa Msuya. Hayo hayo). Lakini ukweli unabaki kuwa hao wanaoteuliwa kuwa wenyevyiti hawana mamlaka yoyoye ya maana zaidi ya kusikiliza na kutekeleza maagizo kutoka kampuni mama za hao makampuni tanzu waliyo wenyeviti.
no no nooooooo mate................
 
Kwa Tbl sawa ila Barrick sio sawa.Former Prime Minister Msuya ndo anaongoza Tbl kule mnajua mmenyamza kimya mnakuja kunyanyua midomo kwa huyu.Au Hilo kwako ni geni
this is a total garbage..tunazungumzia rasilimali za taifa wewe unazungumzia pombe..haya mambo ya kutuletea ugali wa muhogo na bamia wakati watu tunakula pilau na nyama ya kuku....kutengeneza pombe hakuchanganywi na dhahabu wala almasi,na kunywa pombe ni utashi wa mtu..dah,..we vipi?tunaachiwa mashimo brother/sister
 
Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.

Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.

Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.

Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.

Mkuu,
Kuna mtu amekwiba pasiwedi yako au ni wewe mwenyewe? Kwi kwi kwi kwi..
Nilikuwa na siku mbaya sana leo, lakini umenifanya nichangamke na kufarijika mkuu.

Dole sana!
 
hii inaitwa 'kuhalalisha rushwa waziwazi'

Wameshindwa kutengeneza mafao bora kwa wastaafu wamebakia kupeana pension selectively....Hawajui institutions zina maisha marefu kuliko individuals sasa kama huyo kapewa pension ki-design kizazi chake je? Ama wanadhani walivyoviiba viko safe kuwatosha individuals na generetion yao yote?

Iko established kuwa 80% ya spoon fed children end up into bad conditions kwakushindwa ku-maintain status quo na in contrast 80% ya watoto waliokuwa wa walalahoi ndiyo ambao huwa wanafanya wonders...Cheki 80% ya matajiri wote wa sasa historia zao kitaifa; kimataifa hata dunia....

Kwakuelewa ukweli huu ni busara kujenga institution ambapo watu wenye talents wataendelea kuleta welfare duniani na kuachana na mambo ya mjomba shangazi ambapo wote tunaangukia katika viscious cirle ya relative na abject poverty!
 
Acha uwongo.
Nyerere alikamata mashamba yote ya Tiny Rowlands baada ya mzungu huyo kuingilia sera za ukombozi wa Zimbabwe. Akaenda kulalamika London na Lusaka lakini hakufua dafu. Nyerere alikuwa chiboko! Sio hawa wenye tabasamu na kuuza nchi to the lowest bidder! Symbion na Dowans lao ni moja. Ni ufisadi wa Kikwete.

Na hiki ndicho kinamtofautisha Nyerere na viongozi wengi....Hii divide and rule ya wenzetu ingeshindwa kazi kabisa kama kungekuwa na collective responsibility inapokuja kwenye mambo ya utaifa..Sasa viongozi wetu wanaujasiri gani wakati wao wenyewe wamejitenga na nguvu ya umma? Wewe una individual interest zinazowaumiza walio wengi nani afe akipigania kauli yako utakayo itoa kimataifa and after all utaitoaje hiyo kauli wakati ww ni mshirika pamoja nao katika kuwaliza ndugu zako?
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

Kwa jinsi nchi ilivyo hii si bure. Iko namna hapa! Jidaini kumtetea lakini mimi NO.
 
Mmmnnh, ya kweli haya??
Kuna Mwapachu na Ole Naiko

Nani ni nani?
 
Tanzania kila kitu kinawezakana. Kuna wakati, spika wa bunge aliwahi kuwa board chairman wa kampuni fulani...itakuwa huyo mstaafu? Watu walivyojaribu kuuliza kulikoni wakaambiwa ati wana "wivu wa kike"!

Malizia tu kampuni ya V............(malizia hizo herufi 6 zilizobaki
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mimi sioni ubaya wowote katika hili. Haya mambo ni heri tukayaona kwa mapana na marefu yake. Kuna uhusiano mkubwa kabisa kati ya biashara (hasa ya kibepari) na siasa. Wawekezaji wanapenda sana kuwa karibu na wanasiasa ili sera na malengo yao yasipunguze faida wanayoipata. Inawezekana ikawa ni vibaya au inaumiza wananchi wa kawaida lakini huo ndio ukweli. Zamani walikuwa wanamteua mtu ambaye ni well connected na wanasiasa na kumlipa mshahara ili pale wanapohitaji jambo kutoka serikalini au kubadilisha jambo basi inakuwa rahisi. Kwa kuwa sasa ni biashara huria na mtu yeyote anaweza kuteuliwa kuwa kiongozi ndani ya kampuni hiyo basi wanafanya hivyo. (Kumbuka Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Breweries ni Cleopa Msuya. Hayo hayo). Lakini ukweli unabaki kuwa hao wanaoteuliwa kuwa wenyevyiti hawana mamlaka yoyoye ya maana zaidi ya kusikiliza na kutekeleza maagizo kutoka kampuni mama za hao makampuni tanzu waliyo wenyeviti.

Ni kweli kwani mwenyekiti wa bodi kwenye haya makampuni ni Official figure tu na yupo pale kwa kazi maalumu ya kutetea maslahi yao pindi mambo yanapokwenda kombo kwa kuwa wanaemchagua ana link na viongozi mbalimbali wa serikali hivyo anatumika kama TOOL ya kufanyia advocacy kwa serikali ili mambo yao yapewe kipaumbele. Nadhani nchi za wenzetu ukichaguliwa kuwa mwenyekiti wa bodi lazima wanategemea inputs kubwa kutoka kwako based on your experience ila huku kwetu ni vice versa na ndio maana ukiingia kwenye board mbalimbali wamejaa wabunge na wanasiasa sijui haiwezekani kumchukua mtu yeyote nje ya system ambae ni potential?
 
Mbona mmesahau na Deo Mwanyikaa hawa watu wanaonyesha sura yao halisi hii yote ni kwa sababu ama usalama wa taifa hawasikilizwi au nao wamekuwa wazembe badala ya kudili na wahujumu wa nchi wanadili na wapinzani wa kisiasa lakini inatuonyesha waliowateuwa waliwateua kwa makusudi ya kuhakikisha mambo yao yanafanikiwa na si ajabu wako huko kama kivuli cha waliowateua
 
Kwa jinsi nchi ilivyo hii si bure. Iko namna hapa! Jidaini kumtetea lakini mimi NO.

Hii issue niliiona jana kwenye TV nikawa najiuliza maana nilikuta katikati kuna zoezi la kugawa madawati nikamwona huyu jamaa na mzee wa Monduli (EL) nikabaki najiuliza link kati ya Ole Naiko, EL na ABG nikajua zoezi lipo Monduli, mwisho wa taarifa kumbe ilikuwa Dar (nikamalizia kwa kujiuliza EL yupo kama nani maana simwoni waziri wa elimu wala nani)
 
Katika hali yoyote kwa mtu mwenye uwezo wa kufikiri hili haliwezi kumuingia akilini ni vipi unaweza ukathibitisha kwamba hawa watu lao halikuwa moja?this is very sad duh....inakatisha tamaa kwa kweli ndio maana watu hawajali chochote kwa maslahi ya nchi,poor tanzania.....
 
Hiyo ni dunia nzima ya biashara, google "It's Not What You Know, It's Who You Know" uelimike.
Lakini ukweli upo palepale katika hili na kwa nafasi aliyokuwa nayo something is wrong si lazima upende na ukumbuke hii sekta ya madini ni moja ya eneo linaloonekana bado lina mazingaombwe mengi sana,anyway lets move on
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

nadhani huelewi na hujaelewa na bora ueeleweshwe..Ole Naiko ameajiriwa na African Barrick Gold kama Director of Goverment Relations....ni muajiriwa kama wengine..hayo mambo ya board umeyatoa wapi?usiwe unakurupuka tu kuongea vitu uwe unafanya research kwanza...Kaacha kazi TIC kaenda ABG..
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

That is true manifestation of what is going on behind closed doors: wananchi wanafikiri kuwa wawekezaji au watu wanaobinafisishiwa mashirika ndiyo wamiliki halali wa kikweli.

SIYO KWELI, wabinafshaji yaani watumishi wanaohusika na ubinafsishaji na uwekezaji, ndiyo wamiliki wa hayo mashirika/makampuni. MFANO URUSI kulifanyika ubinafsshaji na uwekezaji kama hapa kwetu, PUTIN alipoingia madarakani akaamua kufanya uchunguzi wa zoezi la ubinafsshaji. HAPO akagundua makubwa: akakuta watumishi wa serikali waliohusika na ubinafsshaji na uwekezaji kama akina NAIKO ndiyo walikuwa wamiliki wa makampuni yote huko URUSI ikiwemo ya mafuta, madini, gasi nk. WENGI wao aliwatia misuko2 wakaishia jela.

NDUGU ZANGU HAKUNNA cha ubinafsshaji wala uwekezaji, ndio hao2 akina NAIKO, wakistaafu unaona wanatoa makucha na kuwa board member/chair, na kama kawaida ya makampuni kama BARRICK huwezi kuwa board chair bila kuwa majority share holder au kuwa na hisa kiasi fulani kikubwa tu: WIZI MTUPU ...
 
Acha uwongo.
Nyerere alikamata mashamba yote ya Tiny Rowlands baada ya mzungu huyo kuingilia sera za ukombozi wa Zimbabwe. Akaenda kulalamika London na Lusaka lakini hakufua dafu. Nyerere alikuwa chiboko! Sio hawa wenye tabasamu na kuuza nchi to the lowest bidder! Symbion na Dowans lao ni moja. Ni ufisadi wa Kikwete.

Mbona Hampigi kelele Dowans c ndo Symbion baada ya Ubatizo!
 
Back
Top Bottom