Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
630
Reaction score
285
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
 
Tanzania kila kitu kinawezakana. Kuna wakati, spika wa bunge aliwahi kuwa board chairman wa kampuni fulani...itakuwa huyo mstaafu? Watu walivyojaribu kuuliza kulikoni wakaambiwa ati wana "wivu wa kike"!
 
Nimemuona leo kwenye Luninga,ni mwenyekiti wa bodi ya Africa Barick Gold mines.

Hisa hizo zimeuzwa lini na amenunua kiasi gani mpaka kuwa mwenyekiti?

Msekwa nae aliwahi kuwa wa Vodacom tukauliza na hatukupata majibu sasa aliyekuwa mkuu wa kittuo cha uwekezaji baada tu ya kustaafu tayari yuko kwa wawekezaji, napata mashaka.
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

For sure, hed did a very good job to facilitate what you see and hear about Barrick!!!
 
Hiyo inatosha na huo ni ukweli pasipo shaka, Ole Naiko alikuwa kuwadi wa Wawekezaji sasa wanamlipa fadhila, Tungekuwa na Serikali makini, huyu bwana angechunguzwa na kushitakiwa lakini kwa kuwa Wakulu wote wana hisa kwenye makampuni ya aina hiyo basi tunauchuna tu.

Siku ikija Serikali makini, naamini kabisa hawa woote watakuwa matatani na ndio maana CCM na Serikali yake wanatumia mbinu zote, Uslama wa Taifa, Polisi na kugawa pesa kuwanunua Watanzania na kuwahonga nafasi za uongozi kama vile ukuu wa Wilaya ili kujihakikishia usalama kuwa hawataondoka madarakani.

Ujumbe kwao ni huu MENE MENE TEKELI NA PERESI!
 
Afadhali yeye alikula hela zao kwa siri hadi alipostaafu akaweka wazi
 
aisee nimeshangaa sana! Ndo maana barrick hawaguswi! Yana mwisho haya
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

Ukishangaa ya Musa utaona ya Filauni....
 
aisee nimeshangaa sana! Ndo maana barrick hawaguswi! Yana mwisho haya

Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.

Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.

Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.

Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

Ndio Matokeo na Matunda ya AZIMIO LA ZANZIBAR... Lilifuta NGUZO 5 za UONGOZI...
 
Tanzania kila kitu kinawezakana. Kuna wakati, spika wa bunge aliwahi kuwa board chairman wa kampuni fulani...itakuwa huyo mstaafu? Watu walivyojaribu kuuliza kulikoni wakaambiwa ati wana "wivu wa kike"!

Very strange indeed! Sasa hapo si atatumia mapungufu yote alokuwa anayaona TIC kwa faida ya hao jamaa?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.
Serious?
 
Back
Top Bottom