Former President F. Chiluba is no more

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Chiluba is dead. A Zambian friend of mine whose father is a Zambian official has told me. He died of a heart attack early Saturday.
 
Radio One and Itv zimethibisha kama breaking news muda huu(Urais tangu 1991 mpaka 2001-na amekufa akiwa na miaka 68)...RIP
 

Aliyekuwa Rasi wa pili wa Zambia, Frederick Jacob Titus Chiluba (68), amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo nchini Zambia. Chiluba, ambaye aliiongoza Zambia kuanzia mwaka 1991 - 2002, hadi jana mchana inadaiwa alionekana mwenye afya njema, lakini ilipofika saa 6 usiku aliugua ghafla na kuaga duania. Hadi sasa hakuna taarifa zaidi zilizotolewa kuhusu sababu za kifo chake. Katika siku za karibuni, Chiluba alikuwa akikabiliwa na kesi ya ubadhirifu wa mali ya umma wakati akiwa rais wa nchi hiyo.
 
A meteoric rise to presidency ending with a nasty
Divorce, a court case and death. RIP Chiluba
 
mungu ailaze pema roho ya marehemu!

pema wapi, aende ajibu mashitaka. Amekwenda kwenye mahakama ya haki, akahukumiwe . Wangapi wamekufa kwa ajili yake wacha afe apate hukumu ya kweli kwa muumba wake. Asifunguliwe mlango mpaka aliowaua/watesa duniani wamkute mlangoni
 
Back
Top Bottom