Hakika huyu alikuwa CEO wa shoka. Enzi zake Simba kulikuwa na vibe sana na mafanikio tele. CEO wa sasa hata jina lake halijulikani.
Watu kama Gentamycine and Co wamemwandama dada wa watu mpaka akaamua kubwaga many anga. Sasa waje watueleze wamefaidika nini kwa Barbara kuondoka Simba?