upo tayari kwa command line mkuu! Wala usiitupe kama unajaliWadau,
Nimekuwa natumia removable disk drive, ghafla ikapoteza mawasiliano (nikichomeka naambiwa the disk is not formatted) niki-format naambiwa 'Windows was unable to complete the format'
Je kuna uwezekano wa ku-recover hii drive au ndo imeshakufa nilale mbele?
Ushauri tafadhali.
upo tayari kwa command line mkuu! Wala usiitupe kama unajali
Sorry wakuu si unajua si wengine tunaingia mara moja kwa siku huku jf kutokana na majukumu, haya twenden sasa
kwanza fungua command line as administrator kisha piga command zifuatazo zenye herufi kubwa kama zilivyo(hakikisha usb flash yako imechomekwa kwenye usb port)
DISKPART
LIST DISK (hapa itakuonesha disk zote zilizopo kwenye pc na ukubwa wake, angalia kama usb flash imesomwa)
SELECT DISK n (n=number ya usb flash yako unayoformat, hakikisha unajua ukubwa wa usb flash yako itakusaidia kuchagua kwenye command hii)
CLEAN
CREATE PARTITION PRIMARY
SELECT PARTITION 1
ACTIVE
FORMAT FS=NTFS
(hapa itaanza kuformat kwa asilimia, iache hadi ifike asilimia mia moja 100% na ikuletee sehemu ya kuendelea)
ASSIGN
EXIT
note: andika kwenye command line hayo maandishi makubwa tu, hayo mengine ni maelezo muhimu achana nayo, baada ya kumaliza hizo command unaweza kuiformat kama kawaida, kumbuka kuwa kwa kufanya hivi tayari usb yako ni bootable unaweza hata kuifanyia live disk kufangizia os mpya
Cc: cabhatica, LORDVILLE, stephot
Mkuu WAHEED SUDAY nimejaribu lakini ni Disk 0 tu inatokea nyingine haionekani. Shall I give up?
Nashukuru sana mkuu, nilikuwa na tatizo hilo, sasa nimefanikiwa kupitia maelezo yako mazuri. Asante sana, LONG LIVE JF.Sorry wakuu si unajua si wengine tunaingia mara moja kwa siku huku jf kutokana na majukumu, haya twenden sasa