Format gani hizi

Format gani hizi

shababi

Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
15
Reaction score
1
hey mambo wadau, nimedownload tutorials kwa kutumia You tube downloader ila cjui kwanini hizi tutorials zimegoma kuplay, nimehisi llabda ni format, bt je ni player gani inaeza kuplay hizi tutorials naombeni msaada wadau,
 
Nero multimedia suite itakufaa, inakuwa na encoders ambazo zinaweza kucheza video za aina mbalimbali. Trial version unaweza kudown load kutoka kwenye website yao ya nero.com. Lakini pia VLC media player inacheza video za youtube.
 
tutorial ndo nini????

Kimsingi 'tutorial' ni notice za kujifunzia.
Zinaweza kuwa kama presentations za kawaida, video au audio. Anazoongelea huyu ndugu kwenye hii thread ni video tutorials.
 
hey mambo wadau, nimedownload tutorials kwa kutumia You tube downloader ila cjui kwanini hizi tutorials zimegoma kuplay, nimehisi llabda ni format, bt je ni player gani inaeza kuplay hizi tutorials naombeni msaada wadau,

Download tvc [total video converter] convert kwenda format unayotaka
 
hey mambo wadau, nimedownload tutorials kwa kutumia You tube downloader ila cjui kwanini hizi tutorials zimegoma kuplay, nimehisi llabda ni format, bt je ni player gani inaeza kuplay hizi tutorials naombeni msaada wadau,

usisumbuke sana mkuu, nadhani hiyo format itakuwa ni flv, na kama ni hiyo ondoa shaka, just download kmplayer kwisha kila kitu yaani mambo byeee
 
Wasikuhangaishe tumia VLC Player ndiyo mwisho wa matatizo hakuna kitu inaacha kuplay.
 
inategemea na hizo tutorials zina extension gani,most video files format zinaweza cheza kwa kutumia vlc. Ila kama ni extension ya .mov hii hutumika kwenye macintosh, player inayoplay huwa ni quick time player.
 
JF vituko haviishi. mmebakia kubahatisha wakati mwenye tatizo hataki kusema hizo format ni zipi.
lol!
 
hey mambo wadau, nimedownload tutorials kwa kutumia You tube downloader ila cjui kwanini hizi tutorials zimegoma kuplay, nimehisi llabda ni format, bt je ni player gani inaeza kuplay hizi tutorials naombeni msaada wadau,

Hueleweki. Huwezi kupata msaada. Re-write your request.
 
mkuu hapo kwenye version umeniacha. Bt ni vlc 2 na nimejaribu kuiupdate then nikapata ujumbe kwamba natmia the latest update

hilo file unalotaka kuplay liko ktk format gani?
 
nadhani hukunipata fresh mkuu. Kuna ki prog kinaitwa minilyrics. Ukiplay wimbo,chenyewe kinajifungua na kinasach lyrics kwa mtandao then kinazipitisha kwa screen. Sasa point yangu ni kwamba,hiko kiprog kinakubali kwenye windows media player na itunes bt kinagoma kwenye vlc. [xry nilikuwa off-topic kidogo]
 
Anhaa! kwa hiyo hako ka program ndo kanakozengua kwa sababu kanachagua player ili kaweze kuonesha lyrics.

ila si kwamba kuna media ya aina yoyote imekataa kuplay when you open with VLC player.
 
Back
Top Bottom