Hivi unafikiri kupata division one ndo kufaulu? Unatakiwa ukumbuke kuwa hayo ni madaraja tu....haimaanishi kuwa mtu akiwa na division three amefeli....na ujue kuwa kupata duvision one ndo kunyesha kuwa unajua sana....na swala la chuo usidharau kwa ww maybe upo chuo kizuri...swala la ajira haitegemei umetoka chuo gani maana ingekuwa hivyo basi hichi chuo chako kingekuwepo hicho tu duniani...nikukumbushe kwamba performance yako ya chuo na uwezo binafsi ndo kinachomatter katika ajira....na wote wanaoingia chuo na division three asilimia kubwa wanatoka na Gpa kubwa na ndo kinachomatter.....halaf..uwe unafikiria before hujatoa maneno kinywani....
Unajua mm naamini ukishamaliza mitihani unajua kwamba utafeli au utafahulu kutegemea na jinsi ulivyofanya mtihani bila kuangalia madaraja...na niamini kuna wengine wanashauku kujua habar mbalimbali za vyuo wanavyowish kwenda kusoma thats way am introducing this thing now...
Wanoadharau UDOM naona bado hawahaelimika kabisa....siku zote mwanzo ni mgumu...so wanaoponda waendelee kuponda tu ss tusoma hapo na tutahitimu na tutapiga kazi kama kawaida