Form six kama ulisoma kati ya combination hizi soma hapa

Form six kama ulisoma kati ya combination hizi soma hapa

Dg maisha sio straight forward km unavyofikiria. Mm nilisoma PGM form six na nilikua na ufaulu mzuri sana LAKINI niliona mambo ya kuendelea na shule in ucenge tu. Sasa HV nipo zangu Mererani nagonga nyundo na familia yangu inakula vzr tu, sometimes nacheza ligi za ndondo still watoto wangu wanasoma vzr kwenye hiz shule zetu nzuri za kata bila tatizo lolote.
 
Back
Top Bottom