Matokeo ya mitihani tayari?Samahani wakuu najua wapo form six wengi wamemaliza na wanaendelea kumaliza elimu yao lakini hatujui tuanzie wapi mara kuomba mikopo,mara jeshi na zinginevyo. Tunaomba mwongozo kwa wakubwa zetu mliopita huku asanten
Kawasaidie wazazi kazi za shamba, nyumbani, wakutume hapa na pale, siyo kuwaza kuruka ruka kama panzi. Rudisha hata fadhila kidogo kwa kukaa na wazazi/walezi wakupe mawili matatu ya dunia. Usaidie kazi za hapo nyumbani, uwasaidie wazazi/walezi wako!Samahani wakuu najua wapo form six wengi wamemaliza na wanaendelea kumaliza elimu yao lakini hatujui tuanzie wapi mara kuomba mikopo,mara jeshi na zinginevyo. Tunaomba mwongozo kwa wakubwa zetu mliopita huku asanten
Ushamaliza mitihani?Samahani wakuu najua wapo form six wengi wamemaliza na wanaendelea kumaliza elimu yao lakini hatujui tuanzie wapi mara kuomba mikopo,mara jeshi na zinginevyo. Tunaomba mwongozo kwa wakubwa zetu mliopita huku asanten
Samahani wakuu najua wapo form six wengi wamemaliza na wanaendelea kumaliza elimu yao lakini hatujui tuanzie wapi mara kuomba mikopo,mara jeshi na zinginevyo. Tunaomba mwongozo kwa wakubwa zetu mliopita huku asanten