Form one selection Dar es Salaam

Form one selection Dar es Salaam

WIGWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1,558
Reaction score
1,231
Ndugu wanaJF,

Tafadhali naomba ambaye anaweza kunisaidia hizi selection za mkoa wa Dar wanao ingia form one mwaka 2020 zinapatikana wapi siku zinaaisha niko njia panda tafadhali.
 
mambo vipi wakuu mbona selection wanatuzingua mpaka leo hawajaweka au kunasehemu zinaonekana?
 
Back
Top Bottom