Napenda kuwatakia mtihanini mwema form 4 wote. Ni mategemeo yetu mtakuwa mumejiandaa vizuri kupambana na huyu jamaa asiyependwa na wengi hapo j3. Zimebaki sekunde za mwisho za kuangalia jinsi ya kucheza na huyu jamii hivyo nawatakia ushindi mkubwa pasipo kucheza rafu.