Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,306
- 4,198
Ni hatari sana bro..na Bado anatafuta ajira,aisee kapige kura Kwa akili hizo uko naz
Ni hatari sana bro..na Bado anatafuta ajira,aisee kapige kura Kwa akili hizo uko naz
Ndalichako amekua waziri 2015. Zote mbili kasimamia Ndalichako kama katibu wa NECTA. Waziri 2012 alikua Shukuru Kawambwa. As ipi Kali 2008 japo nimefanya mtihani after that but before 2012.Et wanaJF kati Ya form Four Ya 2008 na 2012 ipi ilikuwa Ya moto Sana
2008 chini Ya Jumanne Maghembe
2012 chini ya Joyce Ndalichako.
TAyari ushajulikana, hata hivyo Mzumbe sec miaka hiyo hakukuwa na EGM2008 nimemaliza form 4 azania secondary. Nakumbuka pepa la hesabu lilivuja likabandikwa mpaka kwenye nguzo ya umeme mchikichini. Ilifika hatua ikabidi serikali ihailishe mtihani wa hesabu. Nilifanya maangamizi mazito sana form 5 nikapangiwa EGM mzumbe morogoro
Kumbe ilikuwa hivi, dah tokeo lilikuwa hatariMadogo wa 2012 walipitia changamoto ya kufeli kutokana na kulikuwa na mgomo wa kati ya walimu na serikali, hasira zao wakizihamishia kwenye kusahihisha mitihani.
Pia grades walipandishiwa A 85-100, B 65-74 nk
Wee form 4 ulimaliza lini lo????😁😁😁😁😁
Dah!!Wee form 4 ulimaliza lini lo????😁😁😁😁😁
😁🤣🤣🤣🤣🤣!Dah!!
“Wahaya IQ ni za kigiriki” mwisho wa kunukuu🤣🤣
Manfri,,, anatuona sie matacoo kweli😅😅😅“Wahaya IQ ni za kigiriki” mwisho wa kunukuu🤣🤣
Muongo huyo mzumbe hakuna EGMChuo ukasoma nini?
Yaani 🤣🤣🤣. Karibu tuangalie movie bhana inaitwa Live or Die.Manfri,,, anatuona sie matacoo kweli😅😅😅
Inahusu nini madam😅Yaani 🤣🤣🤣. Karibu tuangalie movie bhana inaitwa Live or Die.
Bado sijaielewa ila kuna Jamaa mmoja mzembe mzembe sana hivi. Hajui hata kujificha, kila chaka analojificha lazima aache alama hadi maadui wanajua yupo hapo. Khaa ngoja niendelee kuiangalia nitakuja kukuhadithia vizuri.Inahusu nini madam😅
Hahahaha huyo anaonekana ata die tuBado sijaielewa ila kuna Jamaa mmoja mzembe mzembe sana hivi. Hajui hata kujificha, kila chaka analojificha lazima aache alama hadi maadui wanajua yupo hapo. Khaa ngoja niendelee kuiangalia nitakuja kukuhadithia vizuri.
Kweli. Kipindi kile mgomo wa walimu ulisababisha ila sio kwenye kusahihisha mitihani. Mgomo wa walimu nadhani ulianza kati ya 2009 na 2010(nipo tayari kwa marekebisho). Walimu walikuwa wanaenda kazini kama kawaida ila ilikuwa ni kutimiza ratiba tu. Darasani hakuna cha maana sana kilichokuwa kinafanyika. Matokeo yake wanafunzi hawakuwa na uelewa mzuri kujibu mitihani ya taifaMadogo wa 2012 walipitia changamoto ya kufeli kutokana na kulikuwa na mgomo wa kati ya walimu na serikali, hasira zao wakizihamishia kwenye kusahihisha mitihani.
Pia grades walipandishiwa A 85-100, B 65-74 nk