Hujachelewa mkuu kwan mm ni mmoja wapo ninasoma.Hivi
kwa sasa bado sijachelewa
Kaka angu nursing ni ngaz uchwara ktk kozi za afya pharmacy ni ngazi ya pili baada ya udaktar ama utabibu.Shukran mkuu
Sasa vp nursing na pharmacy kipi bora
Duh we jamaa sielewi nikushukuluj manake hili suala lulikuwa likinitatiza sana,THANKS A LOT KAKAKaka angu nursing ni ngaz uchwara ktk kozi za afya pharmacy ni ngazi ya pili baada ya udaktar ama utabibu.
Hata mishahara yao ya daktar na famasia inapishana kidogo sana ht field zao zinapishana sehem moja tu na ht usomaji wake panapishana sehem moja pia.
Famasia iko juu sanaaaaaaaaaaaa
hotel managementMkuu nisaidie ushuar kuna ndugu yangu kapata kiswahili C,mathe F na mengne D anaweza somea nn?
Kumwambia hivyo sio suruisho kama umeona anakuboa si uache kumjibu kwan lazima wewe ndio umjibu au wewe ulikuwa clever sana ukawa na akili ukapata div 1 usitake kuongea kitu uonekane una maana kumbe mjinga mmoja ambaye hana hata future kwa watoto wake nyie ndio ambao hata hamtokuja watia moyo vijana wenu ila ni kuwaponda yaan kwa ilo nimekudharau sanaKutwa mlikuwa mnashinda mitandaoni kufanya umbea na ujinga sasa angalia matokeo yalivoyakijinga kabisa,then unakuja jamii forum kuulizia ujinga wako badala ya kutafuta vyuo ukaulizia vilaza wenzio wanakosoma.
Kwa Kiasi kidogo sana, labda tu awamu hii iki-isha ikaja ya Tundu lissu na Fatma Karume
Wakuuujue ngoja niseme kitu kimoja....mara nyingi vyuo vingi vinaanzia na kuchukua div 4 ya 28...kuanzia ualimu na kadhalika, kwahiyo mtoto akiwa na div 28, 27,26...na kuendelea basi anaweza kujiunga na vyuo hivi. Sasa huyi mdogo ako b ya english inamnyanyua sana...ingawa alionyesha interest ya masomo ya science, kama ni wa kike basi f 5 anaenda tena kwa government selection, kama ni wa kiume patabamba....coz wasichana wanapendelewa sana kozi za sayansi...sasa hapo c ya chemistry inamuokoa sana, akae chini ale bata
Wakuu
Mimi nna mdogo angu Ana D 6Civ D Kisw D Eng D Bios D Geog D pamoja na HistorAna D naombeni ushauri
asee ni mdogo wako au ni wewe
MSAADA:Kurisiti form four
Nilikuwa natafuta full cheti. Nilikuwa natafuta full cheti. Masomi 8. Nilipata BCCCCCDD.Vizuri sana aisee hongera ulipambana haswawww.jamiiforums.com
πππππasee ni mdogo wako au ni wewe
MSAADA:Kurisiti form four
Nilikuwa natafuta full cheti. Nilikuwa natafuta full cheti. Masomi 8. Nilipata BCCCCCDD.Vizuri sana aisee hongera ulipambana haswawww.jamiiforums.com
kumbuka kwanza hakuna anaepata mkopo kwa aliyemaliza form 4 na kwenda vyuo vya kati sahau kuhusu mkopoWakuu inahitajika uwe na ufaulu kiasi gani kutoka form 4 kwenda chuo?
Naskia wanafunzi wengi wanasema form 4 kupiga long pass kwenda chuo hupati mkopo..!
Mimi nimeishia LA pili..