Mentor huyo bado mdogo sana na kishakuzoea kama anko ,unaweza kusubiri na mwana akawa si wako,mwache asome na wewe uendelee na ustaarab wako
Good luck
Form 3 kwa huku kwetu uswahilini ni mzazi pasipo mtoto!!!Kuna vitoto f2 vishatoa mimba kama 2 na zaidi!!!Mambo ya kusubiriana yalikuwa zamani,nina hakika hata wewe huwezi subiri miaka 3 bila kuchakachua spea!!!Achana nae tafuta sample yako kama huwezi subiri amaliize f4 kisha muoe!ajiendeleze akiwa ndani!!Huwezi kufanya haya bila kuelezana nae ukweli
i aint planning to wait for that long kaka...mostly amalize form 6 then nimuambie..au!??Je unajua atasoma mpaka level gani? Maana anaweza kupiga kitabu mpaka akawa dr wa ukweli,hiyo ni miaka mingapi? akimaliza kupiga kitabu atakuona wewe babu,kisha akwambie, ujana ulikula na nani na uzee unataka ule na nani? Ukiweza, ipe roho kitu inataka !!!!,
Kazi njema na ninatanguliza shukrani..!
Mapema kabisa ndugu yangu!?? Wewe ukiwa form 3 ulikuwa waweza kupambanua haya mambo kweli!?? Mimi naona kama naweza kumsubiri...au!??
Wana nini FP!?? Mimi ujomba nimelazimishiwa tu!lol
yaani kila kunavyokucha maajabu ya dunia hayaishi, hili nalo ni ajabu sijui la nane , tisa.... au kumi na tisa. Yaan wewe unatuuliza kama unaweza kumsubiri au la? sie hatujaubeba moyo wako after all kama uko 25, you are still young, endelea kuvuta subira, ila sina uhakika kama utakawait hako kabinti, na kama utakangoja basi lazima utakuwa unabandua kwingineko
unaweza kumsubiria lakin itakuwa pata potea,bila kumweleza anaweza kukuchukulia kama uncle tu,na badae ukimueleza,unaweza kukuta tayar amekuwa occupied,no empty space,mana mabint wa cku hzi,mmmh!Najua mtanicriticize ila ndo hivyo imetokea....Habari zenu kwanza...poleni na hali ngumu ya maisha ndugu zanguni!To the point:Ni binti wa kidato cha tatu...kwa tabia na sifa na maumbile anaonekana atakuwa kitu kikali sana...!Kwa umri kweli ukilinganisha na mimi (working, nakaribia two yrs cnc graduation..) ni mdogo..ila nahisi kama huyu binti atanifaa kuwa mke wangu kwa kweli. niko radhi kusubiri (na sijamwambia lolote!) but tu marafiki sana..kwa sababu ya my young sista. so ye huniita Mjomba since my sis is (was...she jus cleared form6) her school mum!Wakuu ebu niambieni...kuna possibility apo ama niendelee tu na maisha!??sina mpango mbaya na yeye..na nadhani hata reputation yangu hapa JF inanisupport!Could I chill for her labda mpaka amalize form 6 walau nimwambie au nitafute tu mwingine!??Kazi njema na ninatanguliza shukrani..!