Poa nini? Ajitwishe mzigo!!Mbona poa tu!....
UNATAKA KUBAKA WEWE! UNAJUA KIFUNGO NI MIAKA 30 JELA NA VIBOKO KADHAAAAAAAA? OOOOOHOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!:hand:
Ndio maanake,...........Poa nini? Ajitwishe mzigo!!
tafuta tu mwingine mkuu, hao watoto wa shule huwa wanabadilika....huu ni ushauri tu uamuzi unao mwenyewe!
Wakuu mkisikia uzinzi ulotukuka na tamaa mbaya ndio huu, yaani ushaanza kutamani kimwanafunzi, kwanza uache uonge kama kako f3 wewe unaweza kweli kukasubiri miaka zaidi ya 4 kweli :A S 13: mkuu unaelekea kubaya usikaharibie maisha katoto ka wenzio tafuta wa umri wako.....