Forgive Me - Jubilee & NASA

Mpendwa1

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
568
387
Ni vyema kuona wakionyesha mfano mwema. Lakini bado wakenya watapiga darubini kuangalia matendo yenu ya siku za usoni, U BETTER KEEP YOUR DARN WORD!!!

Nawaangalizia kwa mbali, nawaombea wabaki njia kuu siku zote ili ichukue mkondo mpya.
 
Ni hatua nzuri. Swali ni masuala ya msingi yametatuliwa? Itakuwa haina maana wala haipatani na akili kama KILA uchaguzi kunakuwa na machafuko hata mauaji, lkn baadaye viongozi wanakunywa chai na kushikana mikono halafu mambo yanaishia hapo.
 
Mimi nlielewa hapo Raila aliposema kwamba walirejelea kuongea mambo yaliyopita baina yake yeye na Uhuru. Lakini umeuliza swali poa sana, maana hakuna haja ya kusameheana sasa halafu tukirudi uchaguzi twaanza tena.
 
Jiwe ni kiongozi wa malaika. Ni msema ukweli na ni mpenzi wa Mungu. Hahitaji kutubu. Tanzagiza imebarikiwa sana!!!
 
Back
Top Bottom