Sasa unaona ulivyolisha ubongo wako vitu negative about this trading issue.
Yani tayar una matokeo wakati hata process sijaanza.
Ndo Maana nakwambia ukishindwa kitu kaa kimya wapo wanaoweza
MREJESHO siku hiyo ndo utamua nilichokutana nacho kuwa nitrade for rest au vipi lakini ww kwasababu ya kimbelembele unajiona una matokeo tayari.
Note huwezi kuweza kila kitu kimekushinda unatulia sio kuja na ngojera za BOT, BOT.