B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
😴🤣🤣🤣🤣🤣Ungekua muungwana ungeandika haya yote kulekule kwa ONTARIO page mana hakuna jipya hata moja pia Pdf uliyoo attach ni sehemu ndogo sana ya forex bible, hakuna atayekuja kutoa info za forex TZ baada ya ONTARIO sababu yeye ndo aliyetuamsha usingizini mzito na kutuonyesha njia juu ya Forex, hata kama nitakosa training yake lakini amesha nionyesha njia, Lets join newbie