antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,699
- 130,582
Vizuri
Hivi kuna mkulima keshawahi nunua gari kwa pesa ya kilimoTAMAA YA UTAJIRI WA HARAKA HAIJAWAH KUMUACHA MTU SALAMA.
MALI IKO SHAMBA
aisee....hahahahah
Mtwara gani unayoongelea? Ni hiihii huku kusini mwa Tanzania au ni ipi mkuu?renyo WENGI SANA MKUU, NENDA MTWARA HUKO UKAONE VIJANA WALIONUNUA MAGARI KWA FEDHA ZA KILIMO. KUANZIA MAGARI YA KUTEMBELEA, MATREKTA HADI MABASI
Mkuu hujakosea maana hata kabla ya OntarioMkuu ni jambo lipi linanitoa uungwana hapo? Nimeshindwa kutoa credits kwa mkuu Ontario ? Au kosa langu ni kushindwa kumerge threads ? Na kama ni hivyo basi naomba mods watusaidie. Kingine hiyo PDF hapo ni very recommended kwa watu wanaoanza kujifunza kama mimi nikaona si vibaya kushare na ndugu zangu ila kama nimekosa naomba nitangulize samahani mkuu
We ndo uende kule kwa Ontario, sisi acha tuanzie hapa hapa kwanzaUngekua muungwana ungeandika haya yote kulekule kwa ONTARIO page mana hakuna jipya hata moja pia Pdf uliyoo attach ni sehemu ndogo sana ya forex bible, hakuna atayekuja kutoa info za forex TZ baada ya ONTARIO sababu yeye ndo aliyetuamsha usingizini mzito na kutuonyesha njia juu ya Forex, hata kama nitakosa training yake lakini amesha nionyesha njia, Lets join newbie
Kwel kabisa, kule kwa Ontario inabidi uwe umeanza tokea mwanzo ndo utapaweza, koment ni nying mno utakwama njiani.Mods, mi naomba msiuunganishe huu Uzi na mwingine, maana huo Uzi wa Ontario umekuwa mrefu sana, na kwa beginners itakuwa ngumu sana kuziona hizi attachments.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee we jamaa ishia hapo hapo, nahisi kuna kitu hukijui kuhusu kilimo asee.