Forex Trading yaanza kufundishwa rasmi chuo kikuu

Bongo hapa forex chuo utasoma tu intro tena ya juu juu sana.....kwa waliosoma international finance au FN basi topic ya kwanza ni forex...humo utasoma bid,ask,spread , option etc...inakua imeisha hyo
MZEE NI UKWELI MTUPU.
 
Kweli kabisa watu wengi wanapenda profit za haraka kuliko kujifunza ndo maana wanaona Forex ni kama betting coz bila elimu lazima upigwe Forex,,,,,ushauri wangu watu wasitrade bila kusoma Forex ipoje na inafanyaje kaze at least miaka miwili usome vitabu uelewe nanna ya kutrade then ndo uanze kutrade,,,,,
Tatizo mtu hataki kujifunza mwisho wa siku hela zinaangukia kwa vibaka wa mtandaoni ishu ya forex elimu inahitajika ya kutosha kabisaa ukikurupuka lazma uone kama kubet tu
 
Wale msiokuwa na mtaji wa kuanza kutrade forex au ulikuwa na mtaji hafu ukachoma Nina habari njema kwenu,
Just Perfect Market wanayo furaha kuwataarifu wateja wake wa thamani kwamba wameanzisha welcome bonus ya $100 ambayo haitahitaji udeposit hela yoyote kwenye acc yako.

Bonus hii ni kwa wote ambao tayari wanamtumia broker huyu na wale wapya .

Bonus ni ya muda wa siku60 ,
Ili uweze kuwithdraw inatakiwa ufuate taratibu zifuatazo
1.Siku za kutrade ni siku60, nipamoja na siku za weekend
2.minimum lotsize ni 0.01, Ila baada ya siku 60 jumla ya lotsize ulizotumia zifike jumla 25.
3.Hairuhusiwi Hedging yani unabuy na kusell pair moja kwa wakati mmoja.
4. Ukifungua position inabid ikae kuanzia Dakika 5 ndo uifunge, namainisha usiclose position chini ya dakika5 baada ya kufungua.
5.Trade uwezavyo kuza mtaji uwezavyo Ila maximum withdraw ni $100 (profit).
Kwa Hiyo hata ukipandisha kufikia $600 utaweza kuwithdraw $100 tu .
Unachotakiwa kufanya ni kujisajili Sasa hafu fungua account ya Perfect $100 Non Deposit Bonus
Nimekuwekea na link hapo chini
Huu ni upuuzi kwanza hiyo lot ya 25 ndani ya siku 60 ni utopolo huwezi kuwa uneweka 100-200$ uifikie kama wewe ni real trader!!! Hio ni kukufanya upoteze concentration usifuate risk kisha uunguze account.

Ushauri usimtumie huyu broker kamwe? Kwa uzoefu wangu kwenye hii biashara best broker ni Just forex fungua ECN account.

Achana na bonus zenye mashariti ni scammers, ushaambiwa ukitrade ata profit ifike 600$ maximum amount to withdraw kabla ya 60 days ni 100$. Lengo ni kwamba wanaamini utaipoteza tu.

Nimetoa ushsuri kazi kwako ufwate vya bure unyongwe ama ujiongeze, mwisho usipende kujiunga kwa kutumia link ya mtu, ukiwa mkubwa utakuja kunishukuru.
 
Ni ukwel kabsa hawa ni wahuni kama wahuni wengine tu?
 
Kuna wale watanzania wanyonge wanao semaga forex ni utapeli nashangaa mpaka nafika hapa sijaona posti yao hata moja.
 
Wale msiokuwa na mtaji wa kuanza kutrade forex au ulikuwa na mtaji hafu ukachoma Nina habari njema kwenu,
Just Perfect Market wanayo furaha kuwataarifu wateja wake wa thamani kwamba wameanzisha welcome bonus ya $100 ambayo haitahitaji udeposit hela yoyote kwenye acc yako.

Bonus hii ni kwa wote ambao tayari wanamtumia broker huyu na wale wapya .

Bonus ni ya muda wa siku60 ,
Ili uweze kuwithdraw inatakiwa ufuate taratibu zifuatazo
1.Siku za kutrade ni siku60, nipamoja na siku za weekend
2.minimum lotsize ni 0.01, Ila baada ya siku 60 jumla ya lotsize ulizotumia zifike jumla 25.
3.Hairuhusiwi Hedging yani unabuy na kusell pair moja kwa wakati mmoja.
4. Ukifungua position inabid ikae kuanzia Dakika 5 ndo uifunge, namainisha usiclose position chini ya dakika5 baada ya kufungua.
5.Trade uwezavyo kuza mtaji uwezavyo Ila maximum withdraw ni $100 (profit).
Kwa Hiyo hata ukipandisha kufikia $600 utaweza kuwithdraw $100 tu .
Unachotakiwa kufanya ni kujisajili Sasa hafu fungua account ya Perfect $100 Non Deposit Bonus
Nimekuwekea na link hapo chini
#3
#4
Nikisema huyo ni scammer utabisha? Nyie ndio ndio mnaifanya FX ionekane ni ya watu kama Baba Revo!
 
Vyanzo vyako vya taarifa ni vile vya jalalani....nenda mbele hatua mbili...nje ya JF, nje ya fb na insta!
Sasa Mkuu na wewe pia si chanzo changu cha taarifa, kwahio na wewe ni chanzo cha 'jalalani'?.

Mkuu watu ni taarifa, kwenye taarifa jua yoyote inaweza kuwa kweli au uongo, ni wewe tu namna unazichuja hizo taarifa utajua nini ufanye.
 
Back
Top Bottom