Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

mentorship ya demand and supply
Waweza kujifunza bila kuhitaji mtu
Videos: How to trade Forex and Stocks with supply and demand

Kisha angalia video zao za kila wiki jinsi wanavyofanya analysis.

- Baada ya kuamaliza hizo video soma hizi PDF

NB: Huwa tunawalipa mamenta ili watufundishe Entry / Exit Strategy and Market Timing kwa kutumia TRading Setup fulani, Mfano wa setup ni kama, BTMM setup, 26FM1_8 setup etl samabamba na Top down Analysis kabla ya entry
Ila sio kwa vitu basic kama supply and demand [ Support / resistance ], Hivi unajisomea mwenyewe.
 
Attachments

Mkuu yani wiki hii lazima upige mzigo wa hata dolla10000 be blessed🙌🙌 Ila km kuna cha kunishauri chingine naomba mkuu
 
Ndio.

- Kutawala emotions zako pindi ufanyapo trading.
- Uwe na sabu kwa nini u_buy au U_sell, Usiingie sokoni kwa kubahatisha.
- RM sahihi.

Sahihi, zinalipa iwapo tu zinantolewa na trader anayefahamu nini anachokifanya.
Mkuu kuwepo kwa 87% ya losers ni kwamba wengi wao hawana tu emotions control, wana fanya maovertrade tu au kuna siri iliyofichika
 
Wana office posta kuwa regulated sina uhakika sana ingawa hayupo kwenye list ya broker wazuri. Hasara ni market maker mzuri tu mwenye surprise nyingi sokoni, faida ni uharaka wa deposit and withdraws ukitoa pesa dakika 1 imefika.
Kwa sisi scalpers tunaenda hotel bila pesa unagiza msosi unascalp fasta unatoa unalipa hapo hapo .
Almost 98 asilimia ya traders bongo wanamtumia.
Mkuu nifundishe scalping!
 
Salaam Wakuu,

Baada ya kusota na demo account kwa miezi mitatu na nusu hivi sasa soon nitaanza kutrade live, naomba kupata taarifa sahihi za huyu broker kama yupo regulated na board yoyote, Headquarter za huyu broker na hasara na faida za huyu broker.

Angalizo: Uzi huu ni kwa wadau wa forex tu.
naona mkuu umehitimu na virtual forex, kalibu sasa na real forex.. naomba ushirikiano wako,
 
Back
Top Bottom