mkuu habari?
naomba nkwambie hiyo unayofanya sio trading n gambling Mzee n kamari kwa sababu n speculation of foreign exchange market unakisia tu with no agreement or regulatory measures from risks.
unaiita forex naamini hujui forex imeundwa na hedging, arbitration na speculation (forex yako hii).
Jarbu arbitration haina loss kabisa 100%.
Kama huwezi hizo hela kalime achana na gambling af mkiambiwa mnacheza mnamind
mnataka muambiwe mna trade daah hii sio trade ni kamari