Ismoo
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,048
- 1,468
Kaka wee acha tu hii 1M nataka niiwekeze kwenye phone accessory ni baki na 200k kama capital nimle tena sportpesa manina zake
Kaka wee acha tu hii 1M nataka niiwekeze kwenye phone accessory ni baki na 200k kama capital nimle tena sportpesa manina zake
Kaka wee acha tu hii 1M nataka niiwekeze kwenye phone accessory ni baki na 200k kama capital nimle tena sportpesa manina zake
Kubeti nakushauri usiache uzuri mtaji unao betia mtaji mkubwa kama 200k na kuendelea nilikuwa na mtaji wa 100k wa kubetia aisee kwa week mbili tu nilisha mla muhindi 4M ila mpaka sasa sijui nini kimenotokea nime liwa pesa yote sasa nina 1200M tu
Kwa sasa nataka ni tumie 200k pekee akinila hii basi tena sitokuja ku bet tena ila mambo yaki kaa vzr nita waletea uzi wangu wa kwanza toka nijiunge kwenye hii jamii ya wana JFEndelea kubet mafanikio utayaona baadae
Kwa sasa nataka ni tumie 200k pekee akinila hii basi tena sitokuja ku bet tena ila mambo yaki kaa vzr nita waletea uzi wangu wa kwanza toka nijiunge kwenye hii jamii ya wana JF
Nakuelewa sana ukisema hivyo maana yame nikuta na nina jua hizi case hakuna kuchekena yaniNilishawahi kula milioni 2 na laki Saba kwenye roulette.
Kesho yake nilivyorudi kwenye online casino.bwana weee. Kila nikiweka inakwenda kila nikiweka inakwenda.system ilinikataa..
Usije ukashangaa MTU alikuwa bilionea akafirisika kisa kamari
Yaani naacha vzr tu, japo utamy wake sio wakawaida mzee nika teja kwenye miunga ya kulevyaHAUWEZI KUACHA KAMARI.
Nakuelewa sana ukisema hivyo maana yame nikuta na nina jua hizi case hakuna kuchekena yani
Una maanisha kwa sasa una 1200M ambayo ni sawa na billioni 1.2?Kubeti nakushauri usiache uzuri mtaji unao betia mtaji mkubwa kama 200k na kuendelea nilikuwa na mtaji wa 100k wa kubetia aisee kwa week mbili tu nilisha mla muhindi 4M ila mpaka sasa sijui nini kimenotokea nime liwa pesa yote sasa nina 1200M tu
hapana ni 1.2MUna maanisha kwa sasa una 1200M ambayo ni sawa na billioni 1.2?
Hongera sana kwa kutokata tamaa.Ngoja niwasimulie kidogo
Nimechoma sana Acc ila sikukata tamaa, ila nimefika mahali forex ni kila kitu kwangu
Sahivi nikichoma Acc jua nachoma 13m
Ontario popote ULIPO BARIKIWA SANAA ASEE
UMEFANYA NISHIKE HELA AMBAZO SIKUTARAJIA KAMA NITAKUJA SHIKA
Naomba kufundishwa
tupo wengi kimbeNamimi bora nianze tu ila hii kitu nilijitahidi kuelewa ikawa kama physics kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba kufundishwa jmnWITH THE WILL TO SUCCEED ONLY THE SKY IS THE LIMIT
View attachment 1295854
NEWBIES KEEP ON MOVING NEVER LOSE HOPE
unawaze kunielekeza bossKama mbali Sana na FX ndugu
Unavyoonekana unataka kurukia FX kwa pupa utapigwa za uso mchana kweupe .
FX haiko Kama unavyodhani boss FX inataka utulivu wa akili na uwe na big mind and fast brain to adapt changes of economic world ,to be versatile,flexible and sharp ,time goer
Ukija kichwa kichwa thread za vilio kuhusu zitakuwa nyiingi Sana humu na wapambe nuksi watapata platform pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nielekezwe namna ya kufanya forex, naona jamaa imemtoa anailaumu bureChukua $3000 deposit anza kufanya biashara ya forex, fuata RM vizuri baada ya mwaka ww utakua ni mtu mwingine kabisa. Maana forex inaonekana una uzoefu nayo kiaina. Na kubet usiache
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅 Hapa Utoto ulihusikaNimekutamani mkuu una mpunga mrefu huo walahi. Mwenzio October man anahitaji mil1.5 tu na kimbembe. Shukuru sana acha kulia lia.
Mtaji mrefu huo tuliza tu kichwa.
😂😂😂😂