Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Nilishawahi kula milioni 2 na laki Saba kwenye roulette.
Kesho yake nilivyorudi kwenye online casino.bwana weee. Kila nikiweka inakwenda kila nikiweka inakwenda.system ilinikataa..
Usije ukashangaa MTU alikuwa bilionea akafirisika kisa kamari
Kubeti nakushauri usiache uzuri mtaji unao betia mtaji mkubwa kama 200k na kuendelea nilikuwa na mtaji wa 100k wa kubetia aisee kwa week mbili tu nilisha mla muhindi 4M ila mpaka sasa sijui nini kimenotokea nime liwa pesa yote sasa nina 1200M tu
 
Endelea kubet mafanikio utayaona baadae
Kwa sasa nataka ni tumie 200k pekee akinila hii basi tena sitokuja ku bet tena ila mambo yaki kaa vzr nita waletea uzi wangu wa kwanza toka nijiunge kwenye hii jamii ya wana JF
 
Nilishawahi kula milioni 2 na laki Saba kwenye roulette.
Kesho yake nilivyorudi kwenye online casino.bwana weee. Kila nikiweka inakwenda kila nikiweka inakwenda.system ilinikataa..
Usije ukashangaa MTU alikuwa bilionea akafirisika kisa kamari
Nakuelewa sana ukisema hivyo maana yame nikuta na nina jua hizi case hakuna kuchekena yani
 
Kubeti nakushauri usiache uzuri mtaji unao betia mtaji mkubwa kama 200k na kuendelea nilikuwa na mtaji wa 100k wa kubetia aisee kwa week mbili tu nilisha mla muhindi 4M ila mpaka sasa sijui nini kimenotokea nime liwa pesa yote sasa nina 1200M tu
Una maanisha kwa sasa una 1200M ambayo ni sawa na billioni 1.2?
 
Duh tafuta kitu cha kufanya mapema kijana, maana kuna 95% hiyo pesa utairudisha kwenye betting

Betting ni mojawapo ya addiction hatar sana
 
Ngoja niwasimulie kidogo

Nimechoma sana Acc ila sikukata tamaa, ila nimefika mahali forex ni kila kitu kwangu

Sahivi nikichoma Acc jua nachoma 13m

Ontario popote ULIPO BARIKIWA SANAA ASEE

UMEFANYA NISHIKE HELA AMBAZO SIKUTARAJIA KAMA NITAKUJA SHIKA
Hongera sana kwa kutokata tamaa.
 
Kama mbali Sana na FX ndugu

Unavyoonekana unataka kurukia FX kwa pupa utapigwa za uso mchana kweupe .

FX haiko Kama unavyodhani boss FX inataka utulivu wa akili na uwe na big mind and fast brain to adapt changes of economic world ,to be versatile,flexible and sharp ,time goer

Ukija kichwa kichwa thread za vilio kuhusu zitakuwa nyiingi Sana humu na wapambe nuksi watapata platform pia

Sent using Jamii Forums mobile app
unawaze kunielekeza boss
 
Back
Top Bottom