Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Chief kuna kitu nataka nigusie kwenye scenario kama yako ambapo ww umetumia executionary transaction(yani kufanya mihamala kwa bei ya sokoni ya muda huo(current market price))umeweka SL(stop loss) na pia TP (take profit) lakini market haikufika kwenye TP ulio iset..hatimae kupelekea kupata hasara.Kwa faida yako na wanajukwaa kwa ujumla.unapokua na scenario kama hiyo loss au hasara unaweza ukaikwepa kama soko au market ita behave tofauti na ulivyo tarajia au kuset kwa kutumia mbinu au technique iitwayo pending order(au kwa lugha rahisi kufanya booking ya bei unayotaka ww uuze au ununue tofauti nabei iliopo kwa muda huo sokoni).Hii pending order imegawanyika katika makundi 4.
1.buystop
2.buy limit
3.sell stop
4.sell limit.
Naanza kuchambua kimoja baadaya kingine ili nieleweke namaanisha nini.
1.buy stop
hii technic ya kwanza ya kubook bei ya juu zaid ya bei ya soko ya wakati huo kwenye kununua.mfano bei ya kununua ya soko wakati huo ni 80 lakin ww unabook unataka kununua kwa 90.
2.buy limit
ni technic ya pili ya kubook bei ya chini zaid ya bei ya soko ya wakati huo ya kununua.mfano bei ya soko ya wakati huo ni 80 lakini ww unabook unataka kununua kwa 60.
3.sell stop
ni technic ya tatu ya kubook bei ya chini zaid ya bei ya soko ya wakati huo ya kuuza.mfano bei ya soko ya wakati huo ni 80 lakini ww unabook unataka kuuza kwa 60.
4.sell limit
hii technic ya kwanza ya kubook bei ya juu zaid ya bei ya soko ya wakati huo kwenye kuuza.mfano bei ya kununua ya soko wakati huo ni 80 lakin ww unabook unataka kuuza kwa 90.
Nb:hizi options 4 zinasaidia mnoo kuepusha akaunti kupukutika....uzuri wa hizi options kama ikitokea market haikufika kwenye bei ulizo book basi pesa yako itabaki salama kama ilivyo na haita pukutika hata punje.kwa lugha ya kitaalamu hizi options tunaziita loss controllers.asanteni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
samahani wakuu...Nimefanikiwa kufungua Skrill Account. Ila nilipo LogIn tu nikakutana na ujumbe huu...

Je,Unamaanisha nini?


View attachment 562028
Mkuu saizi skrill wana sheria mpya huwezi kutoa au kuingiza pesa kwa usd ni euro tu.hivyo basi badilisha hapi bank account kutoka usd na kuwa euro na hilo tatizo linakua limekwisha habari yake.shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu saizi skrill wana sheria mpya huwezi kutoa au kuingiza pesa kwa usd ni euro tu.hivyo basi badilisha hapi bank account kutoka usd na kuwa euro na hilo tatizo linakua limekwisha habari yake.shukrani

kipindi nina join wakati wa kuchagua currency walisema pindi nichaguapo sito weza kubadili...

Hapo inakuwaje sasa?
 
Asante mkuu
I understand all stop and limits orders available and I have been using them more often.
But kwa hii kitu setups zangu to the best of my knowledge zilikuwa zimekaa sawa, hivyo sikuona sbb ya kutumia pending orders, I executed at mkt price na ilikwenda to my favor for 10+ pips whereas target yangu ilikuwa 40pips. This could be the trick of the market.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Plz nahitaji msaada inahitaji mtaji kuanzia shingapi ili niweze kuanza hio biashara?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mtaji mkubwa kabsa katika hii biashara ni maarifa utakayopata kutokana na kusoma vitabu. Ukishapata elimu then weka hela yako sasa. Soma mwanzo mwa hii Thread utaona kuna vitabu wameweka vya kusoma. Kila la heri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h
Hahahaaa yaani bado tu uko live kwenye uzi huu.. Ama kweli huna aibu bwana mdogo! Na kuumbuliwa kote huko looo!! Anyway soma, soma, soma, forex is not a give and take profession!!
 
Mkuu saizi skrill wana sheria mpya huwezi kutoa au kuingiza pesa kwa usd ni euro tu.hivyo basi badilisha hapi bank account kutoka usd na kuwa euro na hilo tatizo linakua limekwisha habari yake.shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app

Boss hebu tuache tuendee na tulipoanzia, usikusanye vitu usivyovitawanya... usituwekee giza na tuna tochi mikononi. Nilishakuomba uwe honest with what you do and say, kama kitu hukijui ni bora utulie ndugu si kupoteza watu maboya. Please nakuomba ubehave boss, heshimu watu kama unavyoheshimiwa, humu kuna watu wana umri wa baba zetu. Sijui km ni sahihi kum'mislead mtu mwenye umri wa mzee wako.

Yawezekana skrill hata huijui, unaingia tu Google ananyonya mashudu kisha unakuja kuyatapika hapa barazani bila kuzoa. Tangu lini Skrill haipokei USD?? Hiyo sheria ya lini au ni kwako tu?? Hivi ninavyoandika balance yangu ya skrill ni $1,776.43. Transactions zangu zote za deposit na withdraw ni ktk USD. Sijui hata umewahi kutumia e wallet yoyote ndugu. Skrill anapokea currencies zaidi ya 40.

Back to topic...

Skrill wanaposema hawafanyi wire transfer basically wanamaanisha hawana tena utaratibu wa kuhamisha fedha directly kutoka kwa bank a/c yako hadi kwa bank a/c ya receiver. Yani hawafanyi kama mabenki yanavyofanya SWIFT transaction. So wao wanahitaji uwe na account nao, then uruhusu pesa zitoke from your bank a/c hadi kwenye skrill account yako. Baada ya hapo sasa unaweza kutuma kwa mtu mwenye skrill (linked email) sio kutuma directly kwa bank account ya receiver. Pesa ikishafika kwa skrill account ya receiver yeye sasa ataweza kuichomoa directly kwa mastercard ya skrill ama kuiingiza kwa bank account yake.

Ikitokea ukamtumia mtu ambaye hana skrill account, basi kwa kutumia ile email uliyoifund pesa, watamshauri receiver afungie skrill account kutumia hiyo email, kisha ataweza kupata hizo pesa.

I personally use skrill kwa pesa ndogo ndogo, less than $5000. Lkn kwa pesa kubwa nampigia broker wangu simu, kisha na'file up forex credit invoice ili anifanyie wire/SWIFT transfer. It's FAST & SAFE.

Cheers!! Saa 02:18 good night guys.
 

Katika jambo linasuuza moyo wangu na kunipa faraja na confidence zaidi no namna ONTARIO anavyokuwa tayari na majibu yaliyokamilika kwa wenyw shauku na tashwishi ya jambo fulani
Nafatijika ama kuelewa mimi zaidi ya aliyeuliza swali
 
Povu lote hilo emu mpe hisa kwenye kampuni mwenzio bhana na yeye maana sio kwa google huko
 
Safi sana mkuu.
 

Umesema vema mkuu complex.
Tuenzi vya kwetu na tena vinasecurity kubwa na realtime solutions ukifananisha na hao wa nje.lets support Ontario in whatever means kuhakikisha ndoto yake imetimia...naamini kuwa mafanikio ya Ontario ni mafanikio yangu pia.
Kwani faida atakayoipata jeff anaweza kuitumia kununulia mahindi yangu au nyanya zilizoko shambani lakini broker wa nje atanunua kitu gani kutoka kwangu?
 
we r together, waiting for your call bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…