Forever Young, Smart, Charismatic & Handsome!!

Forever Young, Smart, Charismatic & Handsome!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,242
Reaction score
765
wp2982f838.png

JKN-NA-MADARAKA.jpg
 
I luv this guy! R.i.p the best president ever!
 
Huyu mzee alikuwa mzalendo wa kweli hakuna kuiga ya wazungu
 
wakati mzee wetu anakumbukwa kawa hizi picha, huyu jamaa wa sasa ivi atakumbukwa kwa picha zake za kucheza kiduku na kubembeaNew Picture (1).pngNew Picture (2).pngNew Picture (3).pngNew Picture (4).png
 
Sure!! Hii figure ingekuwepo hadi leo, huu uozo nadhani usingetokea. Basi tena vizuri havidumu walilonga wahenga!!
 
Daima nitakukumbuka Baba wa Taifa langu linaloharibiwa na kuliwa na wanyag'anyi.
 
Ni hatari sana kuchanganya siasa na biashara, hii imekula kwetu!
 
Dotworld asante sana mkuu!!

Naona alikuwa amekula magwanda ya kufa mtu!!
 
i love this dude jaman...... jk nyerere dah.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom