Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
Mkuu BAK hakuna kitu kisicho na historia, huo wimbo wa Is this love kwa kweli unanikumbusha nikiwa form 3 kuna mtoto wa form one alinizimikia kwa sana akanipa picha zake dah mtoto alikuwa bomba mno. Ilikuwa ni shule ya Day iringa hapo mazee, kwa kweli nilikuwa excited mno kiasi kwamba nilikuwa naziacha zile picha sebuleni ili maza aniulize nani huyu halafu nimwambie bahati mbaya haikutokea hivyo. basi najifungia room na zile picha huku nasikiliza hicho kibao cha Bob naweza kaa 2 hrs nasikiliza huo wimbo kwa kurudia rudia na kuzicheki tu zile picha. saas hivi huyo demi ni ticha pande za Kilombero hukooo
...hahahahaha lol! Nyimbo hukumbusha mengi sana Mkuu ππ mie kuna nyimbo nikisikia zinanikumbusha sehemu sehemu ambazo hunifanya nikabaki na tabasamu....Nafurahi kwamba kuusikia wimbo wako huo umeweza kumkumbuka mrembo wako aliyekuwa ni moto wa kuotea mbali ππ usianze kumtafuta tu yuko wapi hahahahah lol!
Aah wapi mkuu siwezi mtafuta tena coz yeye kaolewa na mie nishaoa
kitu ya pimpers paradise ni kwere, huyu jamaa heshima, kitu ya who the cap fit nayo ina maneno matamu sana
If u ar a big tree
Then we ar small axe
Sharpened to get u down
Ready to get u gown...
Hahaha hii inanipaga nguvu najiskia kama naweza hamisha mlima!
Kuna waiting in vain
I don't wanna wait in vain for ur lov
Winter is here ...
Summer is here....
If u ar a big tree
Then we ar small axe
Sharpened to get u down
Ready to get u gown...
Hahaha hii inanipaga nguvu najiskia kama naweza hamisha mlima!.