Forever Living na GNLD sio Vizuri...

Forever Living na GNLD sio Vizuri...

Mi waliniita niatend interview, huwezi amini nilitoroka home bila kuaga, nilipofika nikakutana na uongo wa kufa mtu (mmoja akasema ni treasure wa wizara ya afya,mshahara ni kidogo but kwa muda aliojiunga GnLd anapata mara tatu zaidi ya mshahara wake:aunt yangu anafanya kazi wazara ya afya, nilipomwuliza akasema hilo jina halijawahi kufanya kazi wizara ya afya) niliondoka nimekasirika ile mbaya. Uongo wanaousema ndio unaofanya watu waseme ni walaghai na wezi wakubwa. Wapi Deci?? Nani aliambiwa deci na walaghai akakubali?
Mlioko huko subirini, a day is coming for you. HAKUNA KITU DUNIANI CHA MAFANIKIO MAKUBWA KWA MUDA MFUPI PASIPO USHETANI.
 
mimi naomba kuuliza tu, mimi si mwajiliwa na wala sihitaji kuajiliwa na yeyote, hawa forever kuna mtu wangu pale amenitumia kwenye wasapu kutakuwa na dream summits holiday inn hoteltarehe 1 may na speakers watakuwa wawili na contribtion ni 10000/= au $10.

sasa basi mimi kama mjasiriamali ambaye nahitaji mawazo mapya kutoka kwa watu potential kuna shida gani nikilipa pesa hiyo kuudhuria summit na kupata new things?
 
hahahahaha aisee kumbe hii huwakuta wengi...dah kilichonikuta mm hawa watu bana,wana sound utafikiri wanatongoza.Mm nikakutana na huyo dada akanitel anafanya kazi na kampuni gani sijui ambayo imeingia ubia na GNLD nilivyosikia tu hivyo kwa kweli nilichoka,maana alinikalisha zaidi ya masaa 2 na nilikuwa na haraka nikasema ngoja nimsikilize...mdada ana hadi business card yake kwa ID ya gnld.baada ya hayo masaa mawili ya saund alivyotamka tu GNLD yote aliyoyaongea mwanzo yakaevaporate nikamtell hyo biashara ya gnld mimi siwezi fanya maana niko forever....basi tu kumpa moyo,maana sina hobby ya gnld wala forever....wadogo wanahenya wakubwa wanafaidika.akaaaa
 
Mimi siwapendi hao watu. Na tabia yao ya kubambikizia watu products sasa, yani waongooo. Siwapendi
 
Hao jamaa wa GNLD inaonekana ni wasanii sana cjawah kusikia forever wamefanya vitu vya ajab ila kwa hiyo Yyhatua wanayotumia jamaa cjaipenda kuwasumbua graduate wakati ni kwa ajili ya watu walio na mtaji wao
 
mimi naomba kuuliza tu, mimi si mwajiliwa na wala sihitaji kuajiliwa na yeyote, hawa forever kuna mtu wangu pale amenitumia kwenye wasapu kutakuwa na dream summits holiday inn hoteltarehe 1 may na speakers watakuwa wawili na contribtion ni 10000/= au $10.

sasa basi mimi kama mjasiriamali ambaye nahitaji mawazo mapya kutoka kwa watu potential kuna shida gani nikilipa pesa hiyo kuudhuria summit na kupata new things?

Nafikiri si vibaya kuhudhuria mana utapata mawili/ matatu mapya.
 
Hii biashara inawafaa akina mama ambao akili yao na nguvu zimeshaanza kuchoka, kidume unasumbuka sana pasipo sababu za kueleweka na mwisho wa siku unaishia njiani ?
Ni kweli hawa jamaa wahuni tu hawana lolote, bado hawajajipanga!!

Story Kidogo. Huyu jamaa kwenye picha ana mke wake Forever anaitwa Veronica. Alikuwa akimwambia kuhusu biashara hii anakataa, anadhani ni umachinga. Baadae akamuunga mkono kwa mapenzi. Sasa ameenda mwenyewe London kupokea cheque ya profit share (Hutolewa na kampuni kila mwaka). Sasa unadhani jamaa akirudi unadhani atafanyaje hiyo biashara? Alikuwa mbishi kama ninyi. Jaribu kufanya utafiti, mi nimefanya wangu hii ni biashara harali, ulienda ukashindwa usianze kuponda. Inafanywa na wasomi na watu wa kawaida. Huyo mwingine ni Enos. Wote walimaliza computa Sayansi Mlimani pale, ila sasa wanafanya biashara hii. Nani angeweza kumlipa Enosi hele kama hiyo, tena kila mwaka inaongezeka? Tuache hasira za kutoweza. Ila mimi nkiona unasema biashara hii ni upuuzi nakuona wewe ndo mpuuzi. Hapo wako The O2 Arena London ndo dunia ya waffanyabiashara wa forever walipokutana. Angalia O2 arena inabeba watu wangapi alafu ujiulize kwamba wale watu wote wako wrong na wewe ndo uko right.
 

Attachments

  • Veronica.jpg
    Veronica.jpg
    75.5 KB · Views: 142
  • Veronoca.jpg
    Veronoca.jpg
    49.4 KB · Views: 137
  • Enos.jpg
    Enos.jpg
    55.8 KB · Views: 138
Hawaii jamaa ni wabunifu ucpme they conguer yr mind na ukajikuta umeshawaelewa mapema....daa! Waliniliza kilo HV!hv! Any way that's life of town but no anything real to them!
 
mimi naomba kuuliza tu, mimi si mwajiliwa na wala sihitaji kuajiliwa na yeyote, hawa forever kuna mtu wangu pale amenitumia kwenye wasapu kutakuwa na dream summits holiday inn hoteltarehe 1 may na speakers watakuwa wawili na contribtion ni 10000/= au $10.

sasa basi mimi kama mjasiriamali ambaye nahitaji mawazo mapya kutoka kwa watu potential kuna shida gani nikilipa pesa hiyo kuudhuria summit na kupata new things?


Toa la kumi nenda kaka sikiliza huku unaangalia malengo yako!!!!
Kama hayatimii na hupati jipya unasepa zako kupiga mitkasi mingine!!!!

Ujasiriamali ni kucheki chaneli mpya so kacheki chochoro hilo
 
Wameshaniweka vikao vya kutosha, bado somo limekuwa gumu kwangu. ..
Sijui watatumia mbinu gani tena. .....
 
ukiona kazi zina masharti kimbia alaka sana kk,hao jamaa niliwa kuudhuria semina zao wakawa wanazungumza mambo ya ajabu cjui nilikuwa nafanya kazi bot nikaacha,wengine bank mpaka nkawa nashangaa ivi mtu uwache kazi ya maana ukaangaike na kamali hyo nikamali maana mnakusanya pesa za wanyonge mnawapa wenye point nyingi mm mwenyewe nusu niache kazi kwa upuuz wao nikaja kugundua wauni tu husipoteze mda kk fanya ata biashara kuliko kujiunga nauwo upuuzi wa hao jamaa wanajifanya wamenunua magari kwa vipodozi wakati ww ukiingia hpo nakuwakikishia utasota miaka ishirini husinunue hata hyo pikipiki
 
Kwa mtazamo wangu, sikila mtu anapenda na anamalengo yakufanya biashara ni wachache sana wenye malengo yakuwa wafanyabishara na hii inapelekea kuwe na matajiri, maisha ya kati na maisha duni hii yote inatokana na maamuzi na malengo mtu aliyo nayo katika maisha yake ndio yatamfanya awe kwenye kundi gani. Mfano leo hii inapigiwa simu nyumba yako imeungua moto na wakati huwo unafamilia je utakubali familiya yako iteseke kwa kuishi maisha ya kuangaika bila sehemu nzuri yakuishi kisa huna pesa yakutafuta nyumba nyingine au ndio utapigana kwa nguvu zote upate hiyo pesa ili utafute nyumba? Ndio hivyo katika biashara mpaka uwone umuhimu wake ndio utaiyona nzuri na utatafuta huwo mtaji kwa hali na mali. Nadhani na wahusika wamesikia maoni yenu kuwa wanatakiwa wawe wawazi nadhani watayafanyia kazi. IF YOU UNDERSTAND ITS IMPORTANCE YOU WILL DO IT IF NOT YOU WILL FIND EXCUSE BUT YOU CANNOT DO BOTH.
 
Back
Top Bottom