hawa jamaa wameona hawapati watu wao wa sales ,marketing sasa wameunda ngo/company mbalimbali mm be4 sijapata kazi nliwah ku aply ngo mbalimbali bila kujua ni gnld na for living waliniita kama mara 2 ngo's tofauti wanachoudhi wakikupigia simu wanakuambia unakuja kufanya recruitment/interview ukiuliza kampuni ina deal na bidhaa gani hawakuambii.....ukija sasa wanakuonyesha watu wao waliofanikiwa na kukuambia ujiunge nao kwa kianzio kama cha laki 7 au 6 na wengne hadi laki 3 then ufanye biashara ya marketing network....,..kama watu wenu waliofanikiwa mnatuambia waliacha kazi zao nzuri ndo wakawa wanafanya business yenu hvi kwa nini muite fresh graduate huku mkijua weng hawatakua na hyo hela za kuanzia pia kwa nini wanapowauliza mkiwapigia cm why msiwe wawazi kuwambia kua ni mambo za gnld na forever living bz kama mtu ana nia hata ukimwambia hvyo atakuja ila ulimficha na akaja hadi ofsini kwenu ndio akagundua hata umpe sound gani hatajiunga na nyie..,.jana ilimkuta mdogo wangu tena wale walioitwa UHURU HEIGHT wanajua