FORBES: 20 most dangerous place to live

Many congratulations to our neighbour for representing well our continent. Kenya and South Africa have got many similarities, namely
1)Crime
2)Slums
3)Tribalism
4) Small segment of people(whites) to large part own land
5) Few people to own GDP, while majority have nothing

I am sure next report Kenya will be above South Africa on this list.
Hahahaha ila we jamaa Unaichukia vibaya Kenya
 
Kazi mlionayo tu ni kupinga pinga kila kitu ili muwachonganishe serikali na raia
Btw niko CDM pia.
Mimi sina chama chochote, ila nimeguswa na pia kuchukizwa mno na matendo yanayoendelea nchini. Kwahiyo usinilazimishe nikubaliane na wapuuzi wachache wanaodhani Tanzania ni nchi ya amani, kitimoto wewe.
 
Bwahahaaaa!!!wataje wazungu watano kenya ni kutajie wahindi na waarabu ishirini

Eti ni watanzania..mmekaliwa chapati...yule mnayemtegemea kafa maskini
Ni watanzania kwa sababu wamezaliwa Tanzania na wamekulia Tanzania na wamepatia mitaji yao Tanzania,
Wakati huko kwenu wamekuja ukubwani alafu wanamiliki mashamba makubwa kubwa yenye rutuba nzuri huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula na kuwaacha wakenya wengi wakiwa hawana kitu
 
Tanzania pia yanatokea ila si ya kiwango cha kiuhalifu kama Kenya na SA. Kule malengo ni kujipatia mali kutokana na hali ngumu kimaisha. Kwa bongo incidence chache zinazotokea kwa kiasi kikubwa zina mlengo kisiasa.
Mkuu, hebu jaribu kuwa "serious" kidogo, watu tunaishi kama "digidigi" kwa hofu na mashaka makubwa kila siku, tukihofia kutekwa na "genge" la wanaojiita wasiojulikana halafu unataka kulazimisha kwamba tuna amani? Shenzi kabisa.
 
Unadungwa sindano na mwenzako...imekuingia mpka unajitia kicheko...kwn unataka aunge mpka juhudi za kutekana..kweli ccm imekuathiri
Nchi ni salama, ila sio salama kwa wakumbafu kama wewe wasaliti na wachonganishi wakubwa kazi kuchonganiaha raia na serikali yao
Kazi kupinga pinga kila kitu,
Sitaki ubishi hapa fanya kutembelea hizo nchi zilizolistiwa alafu ulete mrejesho hapa.
 
Siokoti okoti, yapo kibao, maana ndio nchi pekee inayofahamika ulimwengu wote huu kwa kuwafanya albino kitoewo
Huu hapa endelea kuumezea mate msosi pendwa

Njaa mbaya
Screenshot_2019-09-06-20-23-29~2.jpeg
 
Sawa pinga pinga FC
Mimi sina chama chochote, ila nimeguswa na pia kuchukizwa mno na matendo yanayoendelea nchini. Kwahiyo usinilazimishe nikubaliane na wapuuzi wachache wanaodhani Tanzania ni nchi ya amani, kitimoto wewe.
 
Eti watu wanaishi kama digi digi embu kuwa na aibu kidogo, embu tembelea hizo nchi zilizotolewa hapo juu alafu ukirudi anzisha uzi humu.
Mkuu, hebu jaribu kuwa "serious" kidogo, watu tunaishi kama "digidigi" kwa hofu na mashaka makubwa kila siku, tukihofia kutekwa na "genge" la wanaojiita wasiojulikana halafu unataka kulazimisha kwamba tuna amani? Shenzi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom