FORBES: 20 most dangerous place to live

Hehehe hii sindano imekuingia hadi umekimbia kutafuta past news

Hamna cha past news, bado mnawatafuna ni ile tu siku hizi vyombo vya habari mumevikandamiza kabisa, ila tutaendelea kuwakumbusha nyie ni watu wa roho ngumu na nyeusi, mauaji ya albino na kutafuna nyama zao ndio sababu mpo maskini hadi leo.

Yaani na sijasikia Wapinzani wakiripoti una matatizo sana unalazimisha kitu ambacho hakipo ili kiwepo,
Wakenya mna ufinyu wa akili asee,
Endelea kuokota okota tu

Nchi ni salama, ila sio salama kwa wakumbafu kama wewe wasaliti na wachonganishi wakubwa kazi kuchonganiaha raia na serikali yao
Kazi kupinga pinga kila kitu,
Sitaki ubishi hapa fanya kutembelea hizo nchi zilizolistiwa alafu ulete mrejesho hapa.
Ng'ombe we! Hiyo ya magenge ya kihuni kufanya yatakavyo huku vyombo vya dola vikiwaachia watambe wawezavyo ndio usalama wa nchi?
 
Nchi ni salama, ila sio salama kwa wakumbafu kama wewe wasaliti na wachonganishi wakubwa kazi kuchonganiaha raia na serikali yao
Kazi kupinga pinga kila kitu,
Sitaki ubishi hapa fanya kutembelea hizo nchi zilizolistiwa alafu ulete mrejesho hapa.
Nchi ni salama kwenu madhalimu, pumbavu.
 
Somalia ipo bara gani au washaiondoa Africa, Libya, Syria,
Au akili yangu ndo haina Akili
 
Yaani na sijasikia Wapinzani wakiripoti una matatizo sana unalazimisha kitu ambacho hakipo ili kiwepo,
Wakenya mna ufinyu wa akili asee,
Endelea kuokota okota tu

Umekaa kuskliza wapinzani ambao hamruhusu hata wakusanyike watano kabla hawajachezea kibano, naendelea kukuletea video za msosi wenu pendwa

Umekaa kuskliza wapinzani ambao hamruhusu hata wakusanyike watano kabla hawajachezea kibano, naendelea kukuletea video za msosi wenu pendwa

Wakati ninyi mkishabikia matukio ya kihalifu ya kuua Albino yanayofanywa na vicha kama Alshabaab, sisi tunazingimzia unyama unaofanywa na vyombo vya dola chini ya maelekezo ya serikali kuwauwa raia, angalieni unyama wenu huu.
 
Yeah sio mbaya endelea kuokota okota maana itafanya kenya kuwa nchi nzuri kutembelea

Siokoti okoti, yapo kibao, maana ndio nchi pekee inayofahamika ulimwengu wote huu kwa kuwafanya albino kitoewo
Huu hapa endelea kuumezea mate msosi pendwa

Kama kuna magenge yana teka, kutesa na kuua watu pasipokujulikana wala kuchukuliwa hatua yeyote ile, utasemaje Tanzania ni nchi salama Mkuu?
Tanzania pia yanatokea ila si ya kiwango cha kiuhalifu kama Kenya na SA. Kule malengo ni kujipatia mali kutokana na hali ngumu kimaisha. Kwa bongo incidence chache zinazotokea kwa kiasi kikubwa zina mlengo kisiasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom