duh! once again ka-nzi you have made us proud. Ila haya kupenda kuchezea uchafu i don't know angalie wasije kukubamiza ukutani..!!
good job!
Haya ndio mambo niliyokuwa yanayapendea JF
siku hizi tumeishia kutukanana kwenye Mengi vs all na hatufiki kokote kule
Kila kukicha tunachambua articles za magazeti zilizopostiwa na Bubu Ataka kusema
In short tumekuwa hatuna jipya
Kwa hili namshukuru sana KA-NZI na ingependeza haka kanzi kangekuwa kanatua yua kila baada ya siku mbili tatu hivi ili tupate mpya
Invisible naona WATERMARK uliyoweka ni ndogo sana hebu liondoe hili file weka watermark kisha hao magazeti ya kuja kukocopy na kupaste from JF tuone kama wataweza...huwa wananiudho sana wao kuja humu ku copy copy mambo bila ku acknowledge JF
Kumbuka wengine hatuna access to magazeti hatuko bongo and some articles are rarely posted on their official websites, so we appreciate the pasted articles..bubu hajawahi ku claim kwamba ameandika yeye..mchango wake mimi binafsi nauheshimu.Haya ndio mambo niliyokuwa yanayapendea JF