For you my fidodido😍

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,214
56,855
images.jpeg

Lovie umekuwa ni kipenzi si tu cha moyo wangu bali akili na mpaka vile visivyoonekana!.
Tabasamu lako ndio furaha yangu,mwili wako ndio tamu yangu na pumzi yako ndio uhai wa penzi lako kwangu.

Ningependa nikutakie heri ya siku ya valentine,na uendelee kuitunza ile siri ya moyoni yahusiyo mapenzi yetu matamu!..
Mapenzi yetu ni fireeeeee Kama juzi Jana na hata milelee..😍

Nakupenda
Nakutaka na
Nakuhitaji

Umti wa chini ya miaka 27 raha sana
😁😁
Kina kiranga na nyani ngabu wanaweza kupost haya kweli? Enewei lavu haibagui mzee wala kijana heri ya valentine fidodido wake
 
Nyuzi za mshkaji na vitu anavyoclaim kwamba ndivyo alivyo ni vitu viwili tofauti.

Its like tukiwa kijiweni watu wakianzisha mada nawacrush kwakua napenda mada za wachapakazi ila ikifika muda wa mimi kuanzisha mada naanzisha mada za pornography tu.

Hakuna hiki wala kile ni porn mwanzo mwisho.

Asubuhi, mchana jioni nitaongelea porn tu. Na kwakua porn ni uwanja mpana so naweza iongelea kutokea angle mbalimbali.

So ni porn, porn, porn and more porn.

Now replace porn with love and relationships.
 
Umti wa chini ya miaka 27 raha sana
😁😁
Kina kiranga na nyani ngabu wanaweza kupost haya kweli? Enewei lavu haibagui mzee wala kijana heri ya valentine fidodido wake
Hao wazee ndo huwa wanaposti huko inbobo mpk wanagalagala..😂
 
Nyuzi za mshkaji na vitu anavyoclaim kwamba ndivyo alivyo ni vitu viwili tofauti.

Its like tukiwa kijiweni watu wakianzisha mada nawacrush kwakua napenda mada za wachapakazi ila ikifika muda wa mimi kuanzisha mada naanzisha mada za pornography tu.

Hakuna hiki wala kile ni porn mwanzo mwisho.

Asubuhi, mchana jioni nitaongelea porn tu. Na kwakua porn ni uwanja mpana so naweza iongelea kutokea angle mbalimbali.

So ni porn, porn, porn and more porn.

Now replace porn with love and relationships.
Mkuu vitu gani hivyo navyoclaim ndivyo nilivyo..?😅
 
Eti bro hukujishtukia ulipokuwa unaandika neno 'tamu yangu..'
Yani nijishitukie kumuita mpenzi wangu tamu yangu..!😂

Let me ask you ulishawahi muita mpenzi wako my sweet...?
Kama ulishawahi muita basi nipe tofauti ya hilo neno nililoandika na hicho kiingereza..
 
Umemtumia muamala? Au unabembeleza maneno matupu
Nikuulize kitu hivi ukiamka asubuhi ukajikuta umeamkia chumba cha beki tatu ni dhambi..?
NB:
Kumbuka nilikunywa safari lager sio Mimi ni safari..!
 
Nikuulize kitu hivi ukiamka asubuhi ukajikuta umeamkia chumba cha beki tatu ni dhambi..?
NB:
Kumbuka nilikunywa safari lager sio Mimi ni safari..!
Hamna dhambi hapo, kwanza safari ndio imekupeleka huko chumbani na wala sio wewe kabisa so huna kosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom