For those who fall in love with someone here

Eiyer nikifuatilia coments zako hapa jf nikijumlisha na hiyo personality yako hapo kwenye avetor yeleuuuwiiii!
 
Last edited by a moderator:
Mi navutiwa na yeye (sikutaji - unanjijua) na tuko kwenye maandalizi ya kutimiza ahadi zetu. Namppenda kiasi kwamba nisipowasiliana naye najisikia kama kuumwa vile..... UMEPENDWA WANGU.....
 
haya mkuu, tumekusikia. ila kuna kabinti humu nakapeeeeenda. siku hizi simuoni, nikionaga posts zake tu najisikia freshh. har har har har har,

Hahahahahaaa mkuu the greeen ulikuwa unakazimia kabinti nilikokuwa nakazimia mm pia bila shaka siku hizi sikaoni oni
 
Hahahahahaaa mkuu the greeen ulikuwa unakazimia kabinti nilikokuwa nakazimia mm pia bila shaka siku hizi sikaoni oni





mkuu, huyo ninaekwambia kiukweli ni siku mingi zimeenda sioni post zake, hata sioni akichangia mada hapa. inaweza ikawa nawe umemzimia huyo huyo, har har har har, sasa hapa ni akili kwenye kichwa nani amuwahi mwenzake.
 
king'asti doesnt hate nobody. im above hate my dear.
kula makongoro, follow ur heart. im interested in the persona hahaha (sijakosea hapo, kidhungu tu hicho.)
Siku hizi nimeacha kula makongoro
Si uliniambia utanichukia nikiwa na kitambi?
 
Back
Top Bottom