WanaJF,
Awali ya yote nikiri tu kuwa CHADEMA kwa sasa ipo njia panda tangu maamuzi ya kumtimua Zitto kwenye nafasi zake ndani ya chama yalipo chukuliwa.
Kwa kuwa CHADEMA ilifanya maamuzi magumu ya kumtimua mtu mwenye nguvu na ushawishi mkubwa ndani ya chama (ZITTO), kwa hoja ya usaliti na kuhujumu chama.
Na kwa kuwa CHADEMA imekuwa ikisisitiza kuwa maamuzi na hatua uchukuliwa kwa kufuata katiba, kanuni na taratibu za chama bila kujali nafasi au sura ya mtu kwenye chama.
Hivyo basi, ni wazi kuwa matukio yafuatayo yaliyofanywa na kiongozi wa CHADEMA mwenye nafasi ya ukatibu mkuu yangeweza kumtia hatiani na kupelekea atimuliwe kama ambavyo walivyo timuliwa wengine:
1) Kitendo cha kujikopesha pesa kiasi cha Tshs. 140 million.
Sidhani kama katiba ya CHADEMA ina ruhusu kiongozi wa chama kukopa pesa za chama.
Lakini pamoja na Dr Slaa kukiri kosa hilo, mpaka leo katiba haijamgusa, is it FAIR?
2) kuhusishwa kwenye mambo ya utekaji, utesaji na ugaidi kupitia kijana wake Ludovick Rwezaula na Rwakatale.
Dr Slaa amehusishwa kwenye matukio mazito na ya kutisha kama nilivyo orodhesha hapo lakini katiba ya CHADEMA haikumgusa. Is it FAIR?
3) Dr Slaa alimfanya mchumba wake, Josephine, kuwa kama First Lady wa CHADEMA kwa kumuhusisha na shughuli za chama ikiwemo ziara hasa za nje ya nchi, kinyume kabisa na maelekezo ya katiba ya chama. Is it FAIR?
4) Kuhusu usaliti: Dr Slaa ndiye mwanachama pekee wa CHADEMA ambaye amekombatia kadi ya CCM hadi leo kwa sababu zake anazo zijua mwenyewe.
Je, itawezekana kwa kiongozi wa upinzani kubaki na kadi ya chama ambacho inaelezwa kuwa kimesababisha ukali na ugumu wa kupindukia kwenye maisha ya Watanzania? Huu sio usaliti wa kimya kimya?
Rai yangu: kwa sasa CHADEMA imepotelewa na matumaini ya Watanzania wengi sana kwa kubeba watu aina ya Dr Slaa (uthibitisho ni kushindwa vibaya kwenye chaguzi ndogo).
Sasa basi, ni busara kama Dr Slaa akiwajibika kwa kujiuzuru nafasi yake ili anusuru anguko baya la CHADEMA. Yeye aliingia CDM ikiwa inang'aa, sasa imefubaa chini ya uongozi wake, kwanini asipishe wengine!?